Ibn Maajah Kuhusu Kucheka Kwa Allaah

Mlago: Waliyokanusha Jahmiyyah 181 - Abu Bakr bin Abiy Shaybah katueleza: Yaziyd bin Haaruun katueleza: Hammaad bin Salamah katueleza, kutoka kwa Ya'laa bin ´Atwaa, kutoka kwa Wakiy´ bin Hudus, kutoka kwa mjomba wake Abu Raziyn ambaye alieleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) kasema: "Mola Wetu Anacheka kwa maelezo ya waja Wake wakati kubadilika Kwake kwa kweli kuko karibu." Nikasema: “Je, Mola Wetu Anacheka ewe Mtume wa Allaah?" Akasema: "Ndiyo." Kisha akasema: "Basi Mola Ambaye Anacheka hatotunyima kamwe kitu kizuri." Mwandishi: Imaam Muhammad bin Yaziyd bin Maajah al-Qazwiyniy (d.273) Chanzo: as-Sunan (181)

Mlago: Waliyokanusha Jahmiyyah

181 – Abu Bakr bin Abiy Shaybah katueleza: Yaziyd bin Haaruun katueleza: Hammaad bin Salamah katueleza, kutoka kwa Ya’laa bin ´Atwaa, kutoka kwa Wakiy´ bin Hudus, kutoka kwa mjomba wake Abu Raziyn ambaye alieleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) kasema:

“Mola Wetu Anacheka kwa maelezo ya waja Wake wakati kubadilika Kwake kwa kweli kuko karibu.” Nikasema: “Je, Mola Wetu Anacheka ewe Mtume wa Allaah?” Akasema: “Ndiyo.” Kisha akasema: “Basi Mola Ambaye Anacheka hatotunyima kamwe kitu kizuri.”

Mwandishi: Imaam Muhammad bin Yaziyd bin Maajah al-Qazwiyniy (d.273)
Chanzo: as-Sunan (181)


  • Kitengo: Uncategorized , Kucheka kwa Allaah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013