Hukumu Ya Michezo Na Filamu Za Kuigiza

Ndugu! Hakuna katika Uislamu - katika Dini ya Kiislamu michezo ya kuigiza. Kuna Khutbah, Duruus, mawaidha, visa vinachukuliwa katika Kitabu cha Allaah na Hadiyth za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Zinazowashaji´isha, kuwalea na kuwaongoza Waislamu - sawa wakiwa ni wanaume au wanawake. Ama michezo ya kuigiza, filamu za kuigiza ni ada ya kimagharibi ya kikafiri si katika Uislamu. Uislamu hauna haja mfano wa mambo haya ambayo tunajua sisi kuwa wamagharibi kwa kiasi kikubwa wamelea (familia zao), kujitakasa na kujisafisha kutokana na uchoyo na ubakhili wao, kwa ufakiri wao huu wanahitajia mambo kama haya ya michezo na filamu za kuigiza. Haijuzu kwa Muislamu kujifananisha nao na kuwaiga.

Ndugu! Hakuna katika Uislamu – katika Dini ya Kiislamu michezo ya kuigiza. Kuna Khutbah, Duruus, mawaidha, visa vinachukuliwa katika Kitabu cha Allaah na Hadiyth za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Zinazowashaji´isha, kuwalea na kuwaongoza Waislamu – sawa wakiwa ni wanaume au wanawake. Ama michezo ya kuigiza, filamu za kuigiza ni ada ya kimagharibi ya kikafiri si katika Uislamu. Uislamu hauna haja mfano wa mambo haya ambayo tunajua sisi kuwa wamagharibi kwa kiasi kikubwa wamelea (familia zao), kujitakasa na kujisafisha kutokana na uchoyo na ubakhili wao, kwa ufakiri wao huu wanahitajia mambo kama haya ya michezo na filamu za kuigiza. Haijuzu kwa Muislamu kujifananisha nao na kuwaiga.