Hukumu Ya Kuzini Na Mwanamke Kisha Mwanaume Huyo Akamuoa

Nilimuuza Ahmad kuhusu mtu ambaye anafanya uzinzi na mwanamke na kisha baada ya hapo akamuoa. Akasema: "Inajuzu ikiwa huyo mwanamke ametubia." Ibn 'Umar aliulizwa kuhusu mtu ambaye anafanya uzinzi na mwanamke na kisha baadae akamuoa. Akasema: "Huanza kwa uzinzi na kuishia kwa kufanya ndoa." Sa´iyd bin al-Musayyab aliulizwa kuhusu mtu ambaye amefanya uzinzi na mwanamke. Je, inajuzu kwake (huyo mwanaume) kumuoa? Akasema: "Hatujui kuwa wanaweza kutubia katika njia nzuri na kutenda kitendo kizuri isipokuwa kwa njia hii."

Nilimuuza Ahmad kuhusu mtu ambaye anafanya uzinzi na mwanamke na kisha baada ya hapo akamuoa. Akasema:

“Inajuzu ikiwa huyo mwanamke ametubia.”

Ibn ‘Umar aliulizwa kuhusu mtu ambaye anafanya uzinzi na mwanamke na kisha baadae akamuoa. Akasema:

“Huanza kwa uzinzi na kuishia kwa kufanya ndoa.”

Sa´iyd bin al-Musayyab aliulizwa kuhusu mtu ambaye amefanya uzinzi na mwanamke. Je, inajuzu kwake (huyo mwanaume) kumuoa? Akasema:

“Hatujui kuwa wanaweza kutubia katika njia nzuri na kutenda kitendo kizuri isipokuwa kwa njia hii.”


  • Author: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Karmaaniy. Masaa’il-ul-Imaam Ahmad wa Ishaaq bin Rahuuyah, uk. 57
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 17th, December 2013