Hukumu Ya Kuoa Kati Ya Idi Mbili

Muulizaji: Kuko watu wanaosema kuwa inachukiza kuoa kati ya Idi mbili. Ni yapi maoni yako kuhusu hilo? Jibu: Hapana, haichukizwi. Muulizaji: Hakuna mapokezi yaliyothibiti kuhusu hilo? Jibu: Hapana.

Muulizaji: Kuko watu wanaosema kuwa inachukiza kuoa kati ya Idi mbili. Ni yapi maoni yako kuhusu hilo?

Jibu: Hapana, haichukizwi.

Muulizaji: Hakuna mapokezi yaliyothibiti kuhusu hilo?

Jibu: Hapana.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (224)
  • Kitengo: Uncategorized , Ndoa
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 16th, December 2013