Hukumu Ya Anayeikataa Sunnah

´Allaamah al-Fawzaan: Huyu anauliza kwa anayesema: "Mimi siamini isipokuwa Qur-aan tu, ama Sunnah haisadikishi." Huyu ni kafiri! Huyu ni kafiri! Kwa kuwa ni muongo haisadikishi hata Qur-aan. Qur-aan imetuamrisha kufuata Sunnah. Anasema Allaah (Jalla wa `Aala): وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ “Na anachokupeni Mtume chukueni, na anachokukatazeni jiepusheni nacho.“ (59:07) Qur-aan imetuamrisha kufuata Sunnah, kumfuata Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Anayesema mimi naamini Qur-aan na wala siamini Sunnah, huyu ni kafiri (kwa dalili) za Qur-aan na Sunnah. Kwa kuwa haisadikishi hata Qur-aan, Qur-aan kasema Allaah kwayo: وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ “Na anachokupeni Mtume chukueni, na anachokukatazeni jiepusheni nacho.“ (59:07) Kasema tena Allaah (Jalla wa `Aala): وَإِن تُطِيعُوهُ تَهْتَدُوا “Na mkimtii yeye mtaongoka.” (24:54) Nani? Ni Mtume. وَإِن تُطِيعُوهُ تَهْتَدُوا وَمَا عَلَى الرَّسُولِ إِلَّا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ “Na mkimtii yeye mtaongoka. Na hapana juu ya Mtume ila kufikisha Ujumbe wazi wazi.” (24:54) أَطِيعُواْ اللّهَ وَأَطِيعُواْ الرَّسُولَ “Mtiini Allaah na mtiini Mtume.” (04:59) Kasema Allaah (Ta´ala): مَّنْ يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللّهَ “Mwenye kumtii Mtume basi ndio amemtii Allaah.” (04:80) Yule ambaye haisadikishi Sunnah huyu ni kafiri, ni kafiri hata wa Qur-aan.

´Allaamah al-Fawzaan:

Huyu anauliza kwa anayesema:

“Mimi siamini isipokuwa Qur-aan tu, ama Sunnah haisadikishi.”

Huyu ni kafiri! Huyu ni kafiri! Kwa kuwa ni muongo haisadikishi hata Qur-aan. Qur-aan imetuamrisha kufuata Sunnah. Anasema Allaah (Jalla wa `Aala):

وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ
“Na anachokupeni Mtume chukueni, na anachokukatazeni jiepusheni nacho.“ (59:07)

Qur-aan imetuamrisha kufuata Sunnah, kumfuata Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Anayesema mimi naamini Qur-aan na wala siamini Sunnah, huyu ni kafiri (kwa dalili) za Qur-aan na Sunnah. Kwa kuwa haisadikishi hata Qur-aan, Qur-aan kasema Allaah kwayo:

وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ
“Na anachokupeni Mtume chukueni, na anachokukatazeni jiepusheni nacho.“ (59:07)
Kasema tena Allaah (Jalla wa `Aala):

وَإِن تُطِيعُوهُ تَهْتَدُوا
“Na mkimtii yeye mtaongoka.” (24:54)

Nani? Ni Mtume.

وَإِن تُطِيعُوهُ تَهْتَدُوا وَمَا عَلَى الرَّسُولِ إِلَّا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ
“Na mkimtii yeye mtaongoka. Na hapana juu ya Mtume ila kufikisha Ujumbe wazi wazi.” (24:54)

أَطِيعُواْ اللّهَ وَأَطِيعُواْ الرَّسُولَ
“Mtiini Allaah na mtiini Mtume.” (04:59)

Kasema Allaah (Ta´ala):

مَّنْ يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللّهَ
“Mwenye kumtii Mtume basi ndio amemtii Allaah.” (04:80)

Yule ambaye haisadikishi Sunnah huyu ni kafiri, ni kafiri hata wa Qur-aan.