Hukmu Ya Mwenye Kufa Kwenye Shirki Kubwa

´Allaamah al-Jaamiy: Ama Shirki kubwa hakuna shaka, kwa kuwa mwenye kufa katika Shirki kubwa imeharamishwa kwake Pepo. Ni wajibu kuitakidi kuwa atawekwa milele Motoni. Mwenye kufa katika Shirki kubwa, anamshirikisha Allaah Shirki kubwa, anaomba msaada badala ya Allaah, anaomba badala ya Allaah kwa kutaka manufaa na kuzuia madhara akiitakidi hivyo kuwa anayemuomba anamsikia atampatia na kumneemesha, usikivu wake (hao anaewaomba) ni kama wa Allaah, uwezo wake ni kama uwezo wa Allaah na elimu yake ni kama elimu ya Allaah; hii ndio hakika ya Shirki. Mwenye kufa katika hili basi atabakizwa milele Motoni. Hii ndio maana Shirki kubwa ni dhambi kubwa ambayo Katahadharishwa kwayo watu. Halina mashaka hata kidogo.

´Allaamah al-Jaamiy:

Ama Shirki kubwa hakuna shaka, kwa kuwa mwenye kufa katika Shirki kubwa imeharamishwa kwake Pepo. Ni wajibu kuitakidi kuwa atawekwa milele Motoni. Mwenye kufa katika Shirki kubwa, anamshirikisha Allaah Shirki kubwa, anaomba msaada badala ya Allaah, anaomba badala ya Allaah kwa kutaka manufaa na kuzuia madhara akiitakidi hivyo kuwa anayemuomba anamsikia atampatia na kumneemesha, usikivu wake (hao anaewaomba) ni kama wa Allaah, uwezo wake ni kama uwezo wa Allaah na elimu yake ni kama elimu ya Allaah; hii ndio hakika ya Shirki. Mwenye kufa katika hili basi atabakizwa milele Motoni. Hii ndio maana Shirki kubwa ni dhambi kubwa ambayo Katahadharishwa kwayo watu. Halina mashaka hata kidogo.