Hizbiyyuun Na Wao Wanafundisha Elimu

Sunnah imeenea na himdi zote ni za Allaah. Hivi sasa hata al-Ikhwaan al-Muslimuun wamenza kufunza istilahi ya Hadiyth. Hata hivyo, wamefanya hivo ili tu vijana wasiwaache. ´Abdullaah Sa'tar ameanza kufundisha "at-Tahaawiyyah". Umejiweka katika hali ngumu. Usiku wa kwanza walikuja wasikilizaji wengi. Usiku wa pili wakaja wadogo. Usiku wa tatu wakaja wadogo zaidi. Baada ya wiki moja wakaja watu watatu. Hajui jengine zaidi ya kutaja gazeti la Alhayat na BBC. Wanachotaka ni kuwanasa vijana na wasiwaache. Hivi sasa na wao wanasema jinsi wanavyofundisha ´Aqiydah, istilahi ya Hadiyth na kadhalika. Lakini walipoona kuwa halinufaishi wakarudi katika viwani na uongo. Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: Naswaaih wa Fadhwaaih, uk. 116-117 Toleo la: 13-10-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Sunnah imeenea na himdi zote ni za Allaah. Hivi sasa hata al-Ikhwaan al-Muslimuun wamenza kufunza istilahi ya Hadiyth. Hata hivyo, wamefanya hivo ili tu vijana wasiwaache.

´Abdullaah Sa’tar ameanza kufundisha “at-Tahaawiyyah”. Umejiweka katika hali ngumu. Usiku wa kwanza walikuja wasikilizaji wengi. Usiku wa pili wakaja wadogo. Usiku wa tatu wakaja wadogo zaidi. Baada ya wiki moja wakaja watu watatu. Hajui jengine zaidi ya kutaja gazeti la Alhayat na BBC. Wanachotaka ni kuwanasa vijana na wasiwaache. Hivi sasa na wao wanasema jinsi wanavyofundisha ´Aqiydah, istilahi ya Hadiyth na kadhalika. Lakini walipoona kuwa halinufaishi wakarudi katika viwani na uongo.

Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: Naswaaih wa Fadhwaaih, uk. 116-117
Toleo la: 13-10-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Ikhwaan Muslimuun
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 13th, October 2014