Hizbiyyuun Malengo Yao Ni Haya Kwa Hizi Filamu Na Anashiyd

´Allaamah Muhammad al-Jaamiy: Huu ni usulubu wa baadhi ya makundi ya siasa wanaharakati, ambayo yanataka kuwanasa vijana kwa usulubu kama huu. Wanataka kuwaweka mbali na elimu yenye manufaa na wanachuoni wema ar-Rabaaniyyuun. Wajishughulishe wakati wao kwa filamu na al-Anashiyd. Na hili kwao wanaita "malezi". Wakishamlea kwa malezi haya na akakulia kwa malezi haya, mpaka mwisho wake akaja kuhitimu akiwa ni daktari mwenye mfumo kama wao. Kwa kuwa walimlea namna hii tangu alipokuwa mdogo, walimlea kwa filamu na al-Anashiyd. Filamu ni Haramu kwa Ijmaa´ ya wanachuoni, na al-Anashiyd ni zenye kushughulisha. Na mambo haya yote ni mapya katika Da´wah. Mfumo maalumu wa wanaharakati wanasiasa, ambao wanataka kutenganisha baina ya vijana na elimu yenye manufaa na wanachuoni.

´Allaamah Muhammad al-Jaamiy:

Huu ni usulubu wa baadhi ya makundi ya siasa wanaharakati, ambayo yanataka kuwanasa vijana kwa usulubu kama huu. Wanataka kuwaweka mbali na elimu yenye manufaa na wanachuoni wema ar-Rabaaniyyuun. Wajishughulishe wakati wao kwa filamu na al-Anashiyd. Na hili kwao wanaita “malezi”. Wakishamlea kwa malezi haya na akakulia kwa malezi haya, mpaka mwisho wake akaja kuhitimu akiwa ni daktari mwenye mfumo kama wao. Kwa kuwa walimlea namna hii tangu alipokuwa mdogo, walimlea kwa filamu na al-Anashiyd. Filamu ni Haramu kwa Ijmaa´ ya wanachuoni, na al-Anashiyd ni zenye kushughulisha. Na mambo haya yote ni mapya katika Da´wah. Mfumo maalumu wa wanaharakati wanasiasa, ambao wanataka kutenganisha baina ya vijana na elimu yenye manufaa na wanachuoni.