Hizbiyyuun Hawana Ikhlaasw Katika Da´wah Zao

Vipi wanaweza kusema kwamba sio wakati wa kusahihisha Hadiyth na kuzidhoofisha na kutofautisha kati ya Sunnah na Bid´ah? Ni lipi ambalo ni wajibu sasa kufanya? Tunatakiwa kufanya kazi ili kusimamisha nchi ya Kiislamu. Vipi inakuwa nchi ya Kiislamu? Inakuwa juu ya elimu, na sio juu ya ujinga. Ni maneno yenye kujigonga. Hili linatufanya sisi wakati mwingine kusema kuwa, wengi katika Hizbiyyuun hawana Ikhlaasw wakati wanapolingania katika Uislamu. Hawana Ikhlaasw. Kwa nini? Kwa kuwa wao hawajali ufahamu wa Kiislamu.

  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (371)
  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 9th, February 2014