Hivyo Utajua Kuwa Hizbiyyuun Hawajali Uislamu

´Allaamah al-Waadi´iy: Mwishowe tutaweka wazi ukweli wa mambo na tufichue Hizbiyyuun. Na ni wajibu kwa wanachuoni wa Sunnah kubainisha hali za Hizbiyyuun. Hizbiyyuun hawa ambao wanachafua picha ya wanachuoni watukufu wanaolingania katika Dini ya Allaah. Nani kasema ya kwamba wanajali Uislamu? Lau wangelikuwa kweli wanajali Uislamu, basi wasingeliwaponda wanachuoni watukufu. Hawawapondi kwa jengine ila ni kwa sababu hawakubaliani kwa makundi makundi yao. Allaah Amjaze - Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy - kheri. Na hakulindwa na madhambi. Sisi hatusemi ya kwamba hakosei. Sote tunapatia na kukosea, na kuna mambo tusiyojua na tunayojua.

´Allaamah al-Waadi´iy:

Mwishowe tutaweka wazi ukweli wa mambo na tufichue Hizbiyyuun. Na ni wajibu kwa wanachuoni wa Sunnah kubainisha hali za Hizbiyyuun. Hizbiyyuun hawa ambao wanachafua picha ya wanachuoni watukufu wanaolingania katika Dini ya Allaah. Nani kasema ya kwamba wanajali Uislamu? Lau wangelikuwa kweli wanajali Uislamu, basi wasingeliwaponda wanachuoni watukufu. Hawawapondi kwa jengine ila ni kwa sababu hawakubaliani kwa makundi makundi yao. Allaah Amjaze – Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy – kheri. Na hakulindwa na madhambi. Sisi hatusemi ya kwamba hakosei. Sote tunapatia na kukosea, na kuna mambo tusiyojua na tunayojua.