Hijjah Ya Mwanamke Bila Mahram

Haijuzu kwa mwanamke kusafiri bila ya kuwa na Mahram sawa ikiwa anataka kuhiji au kufanya kitu kingine, sawa ikiwa safari ni fupi au ndefu, sawa ikiwa yuko na wanawake wengine au hapana na sawa ikiwa ni mjane au mzee. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema: "Haijuzu kwa mwanamke kusafiri bila ya kuwa pamoja naye Mahram." Hekima nyuma ya hili ni kwamba akili ya mwanamke ni pungufu. Hawezi kujitetea mwenyewe wakati anatekwa nyara na wanaume. Kuna khatari akadanganywa, kuzidiwa na akawa mdhaifu kwa mtazamao wa kidini. Kwa njia hiyo hiyo atakujakufuata matamanio yake na kuja kutekwa nyara. Mahram anamlinda na kumtetea yeye na heshima yake. Kwa hivyo, ni sharti Mahram awe kishabaleghe na awe na akili.

Haijuzu kwa mwanamke kusafiri bila ya kuwa na Mahram sawa ikiwa anataka kuhiji au kufanya kitu kingine, sawa ikiwa safari ni fupi au ndefu, sawa ikiwa yuko na wanawake wengine au hapana na sawa ikiwa ni mjane au mzee. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:

“Haijuzu kwa mwanamke kusafiri bila ya kuwa pamoja naye Mahram.”

Hekima nyuma ya hili ni kwamba akili ya mwanamke ni pungufu. Hawezi kujitetea mwenyewe wakati anatekwa nyara na wanaume. Kuna khatari akadanganywa, kuzidiwa na akawa mdhaifu kwa mtazamao wa kidini. Kwa njia hiyo hiyo atakujakufuata matamanio yake na kuja kutekwa nyara. Mahram anamlinda na kumtetea yeye na heshima yake. Kwa hivyo, ni sharti Mahram awe kishabaleghe na awe na akili.


  • Author: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn. an-Nahj li Muriyd-il-´Umrah wal-Hajj, uk. 7
  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 3rd, January 2014