Hekima Haina Maana Ya Kunyamaza Na Kupakana Mafuta

Hivi sasa kuna matatizo mengi. Kunasemwa mengi. Kunaendelea tuhuma nyingi. Yote haya yanaufanya moyo kuwa mgumu. Ndugu! Ninawanasihi kufungamanisha udugu kati yenu. Jiepusheni na kitu chochote kinachosababisha ugonvi na mgawanyiko. Msieneze chochote kinachosababisha mgawanyiko. Usimuache Shaytwaan akakufanya kujenga mgawanyiko na ugonvi kwa sababu tu ya kosa limoja afanyalo ndugu yako. Jifunzeni kusubiri. Jifunzeni hekima. Nyinyi ndiye wenye haja kubwa ya ulaini, subira, hekima na urafiki. Sisemi ya kwamba unyamaze na kupakana mafuta. Nasihi, subiri na kuumia kwa sababu ya Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala). Kwa njia hii mambo yenu yatakuwa sahihi na mtakuja kupatana na kuwa na udugu. Ndugu! Ninawanasihi kumcha Allaah, kutunga udugu, kushirikiana katika wema na uchaji Allaah na kuepuka na kila kinachosababisha fitina na mgawanyiko. Mzungumzaji: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy Chanzo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaasid-ish-Shariy´ah (2/576) Toleo la: 06-08-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Hivi sasa kuna matatizo mengi. Kunasemwa mengi. Kunaendelea tuhuma nyingi. Yote haya yanaufanya moyo kuwa mgumu.

Ndugu! Ninawanasihi kufungamanisha udugu kati yenu. Jiepusheni na kitu chochote kinachosababisha ugonvi na mgawanyiko. Msieneze chochote kinachosababisha mgawanyiko. Usimuache Shaytwaan akakufanya kujenga mgawanyiko na ugonvi kwa sababu tu ya kosa limoja afanyalo ndugu yako. Jifunzeni kusubiri. Jifunzeni hekima. Nyinyi ndiye wenye haja kubwa ya ulaini, subira, hekima na urafiki. Sisemi ya kwamba unyamaze na kupakana mafuta. Nasihi, subiri na kuumia kwa sababu ya Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala). Kwa njia hii mambo yenu yatakuwa sahihi na mtakuja kupatana na kuwa na udugu.

Ndugu! Ninawanasihi kumcha Allaah, kutunga udugu, kushirikiana katika wema na uchaji Allaah na kuepuka na kila kinachosababisha fitina na mgawanyiko.

Mzungumzaji: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Chanzo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaasid-ish-Shariy´ah (2/576)
Toleo la: 06-08-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 6th, August 2014