Haya Hawayajui Wale Walioghafilika Kuhusu Hizbiyyuun

´Allaamah al-Waadi´iy: Ndugu! Hatuna muda wa kujadili. Katika sisi kuko wenye kutaka kuhifadhi Qur-aan. Wengine wanataka kuwa mabingwa wa lugha ya kiarabu. Wengine wanataka kuwa mabingwa wa Sunnah na kupambanua Swahiyh, dhaifu na yenye kasoro. Hatuna muda. Wakati Hizbiy anakujia anataka kujadiliana na wewe, mwambie aende kwa mwenye shaka kama yeye, mimi niko thabiti kwenye Dini yangu. Wao hawana mengine zaidi ya haya; mjidala na kukamata wenye kughafilika. Kuna wenye kughafilika katika wao. Hatutaki kuwa na wenye kughafilika katika Ahl-us-Sunnah. Hatujui wapi mpaka unapokwenda - kwetu Ahl-us-Sunnah au Hizbiyyuun? Wanasema: "Hawa wamaamini ya kwanba Allaah Kastawa juu ya ´Arshi Yake. Wanaamini ya kwamba Allaah Ana macho mawili. Wanamaani ya kwamba Allaah Ana mikono miwili." Masikini wee! Unasahau ya kwamba wanaharibu Sunnah! Masikini wee! Unasahau ya kwamba wanajuzisha Demokrasia na uchaguzi wa kikafiri! Masikini wee! Unasahau ya kwamba wako na al-Ikhwaan al-Muslimuun! Masikini wewe! Unasahau ya kwamba wamechukua Msikiti wa ndugu zetu Aden! Masikini wee! Unasahau ya kwamba wanakimbiza watu kuikimbia Sunnah na Ahl-us-Sunnah! Allaah Amrehemu Aliyesema: "Ukimuona mtu anawaponda Ahl-ul-Hadiyth, basi jua ya kwamba ni mtu wa Bid´ah."

´Allaamah al-Waadi´iy:

Ndugu! Hatuna muda wa kujadili. Katika sisi kuko wenye kutaka kuhifadhi Qur-aan. Wengine wanataka kuwa mabingwa wa lugha ya kiarabu. Wengine wanataka kuwa mabingwa wa Sunnah na kupambanua Swahiyh, dhaifu na yenye kasoro. Hatuna muda. Wakati Hizbiy anakujia anataka kujadiliana na wewe, mwambie aende kwa mwenye shaka kama yeye, mimi niko thabiti kwenye Dini yangu. Wao hawana mengine zaidi ya haya; mjidala na kukamata wenye kughafilika. Kuna wenye kughafilika katika wao. Hatutaki kuwa na wenye kughafilika katika Ahl-us-Sunnah. Hatujui wapi mpaka unapokwenda – kwetu Ahl-us-Sunnah au Hizbiyyuun? Wanasema:

“Hawa wamaamini ya kwanba Allaah Kastawa juu ya ´Arshi Yake. Wanaamini ya kwamba Allaah Ana macho mawili. Wanamaani ya kwamba Allaah Ana mikono miwili.”

Masikini wee! Unasahau ya kwamba wanaharibu Sunnah!
Masikini wee! Unasahau ya kwamba wanajuzisha Demokrasia na uchaguzi wa kikafiri!
Masikini wee! Unasahau ya kwamba wako na al-Ikhwaan al-Muslimuun! Masikini wewe! Unasahau ya kwamba wamechukua Msikiti wa ndugu zetu Aden!
Masikini wee! Unasahau ya kwamba wanakimbiza watu kuikimbia Sunnah na Ahl-us-Sunnah!

Allaah Amrehemu Aliyesema:

“Ukimuona mtu anawaponda Ahl-ul-Hadiyth, basi jua ya kwamba ni mtu wa Bid´ah.”