Hawa Ndio Hawataki Mambo Ya Kujeruhi

Yule ambaye hataki kujeruhi na kusifu, Jarh wa Ta'diyl, haitaki Sunnah. Ikiwa hakuna kujeruhi na kusifu basi itakuwa vilevile hakuna tofauti yoyote kati ya mwema, mlinganizi mwanachuoni anayelingania katika Dini ya Allaah na 'Aliy at-Tantaawiy, Mahmuuud as-Sawwaaf, Muhammad al-Ghazaaliy, Hasan at-Turaabiy, ash-Sha'raawiy, Raafidhwah na Hasan as-Saqqaaf. Asiyetaka elimu hii ima ni mjinga au ni mwenye chuki, au anastahiki pia kujeruhiwa ndio maana hataki kujeruhi na kusifu. Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: Naswaaih wa Fadhwaaih, uk. 110 Toleo la: 13-10-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Yule ambaye hataki kujeruhi na kusifu, Jarh wa Ta’diyl, haitaki Sunnah. Ikiwa hakuna kujeruhi na kusifu basi itakuwa vilevile hakuna tofauti yoyote kati ya mwema, mlinganizi mwanachuoni anayelingania katika Dini ya Allaah na ‘Aliy at-Tantaawiy, Mahmuuud as-Sawwaaf, Muhammad al-Ghazaaliy, Hasan at-Turaabiy, ash-Sha’raawiy, Raafidhwah na Hasan as-Saqqaaf.

Asiyetaka elimu hii ima ni mjinga au ni mwenye chuki, au anastahiki pia kujeruhiwa ndio maana hataki kujeruhi na kusifu.

Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: Naswaaih wa Fadhwaaih, uk. 110
Toleo la: 13-10-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , al-Ghazaaliy al-Miswriy, Muhammad
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 13th, October 2014