Hatua Ya Kwanza Ya Malezi Ya Mtoto – Wazazi Wazuri

1- Jambo la kwanza kabisa, wazazi wanatakiwa kuwa wazuri. Allaah (Ta´ala) Anasema: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا قُوا أَنفُسَكُمْ وَأَهْلِيكُمْ نَارًا وَقُودُهَا النَّاسُ وَالْحِجَارَةُ "Enyi mlioamini! Jikingeni nafsi zenu na ahli zenu na Moto (ambao) mafuta (kuni) yake ni watu na mawe." (66:06) Wazazi kuwa wazuri ni moja ya sababu kuu kwa malezi ya mtoto. Kwa kuwa wao ni mfano wa kuigwa na watoto huwaiga wazazi wao. Mvulana humuiga baba yake na msichana humuiga mama yake. Allaah (Ta´ala) Amesema: وَالَّذِينَ آمَنُوا وَاتَّبَعَتْهُمْ ذُرِّيَّتُهُم بِإِيمَانٍ أَلْحَقْنَا بِهِمْ ذُرِّيَّتَهُمْ وَمَا أَلَتْنَاهُم مِّنْ عَمَلِهِم مِّن شَيْءٍ "Na wale walioamini na wakafuatwa na dhuriya wao kwa iymaan, Tutawakutanisha nao dhuriya wao na Hatutawapunguzia katika ‘amali zao kitu chochote." (52:21) -------------------------- Imaam Swaalih bin Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) kasema juu ya kitabu hichi "Tarbiyat-ul-Awlaad": "Nimesoma kitabu cha Shaykh ´Abdus-Salaam bin ´Abdillaah as-Sulaymaan "Tarbiyat-ul-Awlaad". Naonelea ya kwamba kitabu kina manufaa na ni muhimu. Amefanya vizuri na kunufaisha. Allaah Amlipe kheri kwa yale aliyoandika." (Dibaji ya ”Tarbiyat-ul-Awlaad”, uk. 5)

1- Jambo la kwanza kabisa, wazazi wanatakiwa kuwa wazuri. Allaah (Ta´ala) Anasema:

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا قُوا أَنفُسَكُمْ وَأَهْلِيكُمْ نَارًا وَقُودُهَا النَّاسُ وَالْحِجَارَةُ
“Enyi mlioamini! Jikingeni nafsi zenu na ahli zenu na Moto (ambao) mafuta (kuni) yake ni watu na mawe.” (66:06)

Wazazi kuwa wazuri ni moja ya sababu kuu kwa malezi ya mtoto. Kwa kuwa wao ni mfano wa kuigwa na watoto huwaiga wazazi wao. Mvulana humuiga baba yake na msichana humuiga mama yake. Allaah (Ta´ala) Amesema:

وَالَّذِينَ آمَنُوا وَاتَّبَعَتْهُمْ ذُرِّيَّتُهُم بِإِيمَانٍ أَلْحَقْنَا بِهِمْ ذُرِّيَّتَهُمْ وَمَا أَلَتْنَاهُم مِّنْ عَمَلِهِم مِّن شَيْءٍ
“Na wale walioamini na wakafuatwa na dhuriya wao kwa iymaan, Tutawakutanisha nao dhuriya wao na Hatutawapunguzia katika ‘amali zao kitu chochote.” (52:21)

————————–
Imaam Swaalih bin Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) kasema juu ya kitabu hichi “Tarbiyat-ul-Awlaad”:

“Nimesoma kitabu cha Shaykh ´Abdus-Salaam bin ´Abdillaah as-Sulaymaan “Tarbiyat-ul-Awlaad”. Naonelea ya kwamba kitabu kina manufaa na ni muhimu. Amefanya vizuri na kunufaisha. Allaah Amlipe kheri kwa yale aliyoandika.” (Dibaji ya ”Tarbiyat-ul-Awlaad”, uk. 5)


  • Author: Shaykh ´Abdus-Salaam bin ´Abdillaah as-Sulaymaan. Tarbiyat-ul-Awlaad, uk. 13-14
  • Kitengo: Uncategorized , Malezi ya watoto
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 7th, January 2014