Hali Ambayo Mwanamke Wa Istihaadhah Anaacha Kuswali

Kuna mwanamke ambaye alikuwa na istihaadhah ya nguvu na kwa ajili hiyo akaacha kuswali. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumuamrisha kurudi kuziswali kwa kuwa alifanyia kazi asli, ambayo asli ya damu [inayotoka ukeni] ni hedhi - na mwanamke wa hedhi hatakiwi kuswali. Hata hivyo ikiwa ilikuwa ni dhana tu au uzembe na si kanuni, itakuwa ni wajibu kufanya tena ´Ibaadah hiyo.

Kuna mwanamke ambaye alikuwa na istihaadhah ya nguvu na kwa ajili hiyo akaacha kuswali. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumuamrisha kurudi kuziswali kwa kuwa alifanyia kazi asli, ambayo asli ya damu [inayotoka ukeni] ni hedhi – na mwanamke wa hedhi hatakiwi kuswali.

Hata hivyo ikiwa ilikuwa ni dhana tu au uzembe na si kanuni, itakuwa ni wajibu kufanya tena ´Ibaadah hiyo.


  • Author: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn. Fath Dhiyl-Jalaal wal-Ikraam (1/649)
  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 10th, January 2014