Hakuna Sunniy Yeyote Anayemdharau Ibn Baaz

Mababu zetu kama Ahmad bin Hanbal hawakutoka na kufanya mapinduzi na migomo. Wakati Ahl-ul-Hadiyth walipokusanyika kwake katika mnasaba wa fitina ya kuumbwa kwa Qur-aan na kumuuliza kama inajuzu kufanya uasi aliwaamrisha kutotoka kwake, kumcha Allaah na kutosema hivo. Wanafunzi! Tulieni na waulizeni wanachuoni wenu kama Shaykh Ibn Baaz na Shaykh al-Albaaniy. Anayewatukana wanachuoni kama tulivyosema ima ni Hizbiy, mpumbavu mmoja mdogo au mtu wa Bid´ah. Ninawapa changa moto ya kuja na Sunniy mmoja anayemdharau Shaykh ´Abdul-´Aziyz. Je, Shaykh Rabiy´ bin Haadiy anamdharau Shaykh Ibn Baaz? Shaykh ´Abdul-Muhsin al-´Abbaad anamdharau Shaykh Ibn Baaz? Shaykh Muhammad bin Swaalih bin ´Uthyamiyn anamdharau Shaykh Ibn Baaz? Mwandishi: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 31-32 Toleo la: 17-06-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Mababu zetu kama Ahmad bin Hanbal hawakutoka na kufanya mapinduzi na migomo. Wakati Ahl-ul-Hadiyth walipokusanyika kwake katika mnasaba wa fitina ya kuumbwa kwa Qur-aan na kumuuliza kama inajuzu kufanya uasi aliwaamrisha kutotoka kwake, kumcha Allaah na kutosema hivo.

Wanafunzi! Tulieni na waulizeni wanachuoni wenu kama Shaykh Ibn Baaz na Shaykh al-Albaaniy. Anayewatukana wanachuoni kama tulivyosema ima ni Hizbiy, mpumbavu mmoja mdogo au mtu wa Bid´ah.

Ninawapa changa moto ya kuja na Sunniy mmoja anayemdharau Shaykh ´Abdul-´Aziyz. Je, Shaykh Rabiy´ bin Haadiy anamdharau Shaykh Ibn Baaz? Shaykh ´Abdul-Muhsin al-´Abbaad anamdharau Shaykh Ibn Baaz? Shaykh Muhammad bin Swaalih bin ´Uthyamiyn anamdharau Shaykh Ibn Baaz?

Mwandishi: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 31-32
Toleo la: 17-06-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Kukufurisha na Kuhukumu
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 17th, June 2014