Hakuna Jimaa, Hakuna Mume Mzuri

Mwanaume hachukuliwi kama anamtunza mke wake vizuri maadamu hajamiiani naye. Ni kitu ambacho hakuna yeyote anakikanusha. Kama anamhudumia mke wake kwa chakula, mavazi, tabia nzuri na kila kitu kingine hazingatiwi kuwa ni mtu mzuri maadamu hana jimaa pamoja naye. Anakanusha hili mtu tu mwenye kiburi au mtu ambaye hajui mwanamke ni kitu gani.

  • Author: Imaam Muhammad bin Ismaa´iyl as-Swan´aaniy. Badhl-ul-Mawjuud fi Hukm-il-A´maar wa Imr'at-il-Mafquud, uk. 276
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 24th, December 2013