Hakuna Anayetutaka Kama Vibaraka

Himdi zote ni Zake Allaah kuona Sunnah inaenea. Usibabaike kuona kuwa kuna mtu anayechezesha mkanda dhidi yetu. Waache wachezeshe mikanda mia moja dhidi yetu. Na ikiwa watasema kuwa sisi ni vibara, basi tunasema kuwa nchi hazitutaki kama vibaraka. Kwa sababu tunampa kila mmoja kile anachostahiki. Kibaraka ni lazima awe kama paka anayepenyeza huku na kule. Hawataki kuwa na vibaraka wanaozungumza haki. Hatujali wanachosema. Waache waseme wanalolitaka. Sisi tunasema: قُلْ مُوتُوا بِغَيْظِكُمْ “Kufeni kwa chuki zenu.” (03:119) Mwandishi: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 167 Toleo la: 23-08-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Himdi zote ni Zake Allaah kuona Sunnah inaenea. Usibabaike kuona kuwa kuna mtu anayechezesha mkanda dhidi yetu. Waache wachezeshe mikanda mia moja dhidi yetu.

Na ikiwa watasema kuwa sisi ni vibara, basi tunasema kuwa nchi hazitutaki kama vibaraka. Kwa sababu tunampa kila mmoja kile anachostahiki. Kibaraka ni lazima awe kama paka anayepenyeza huku na kule. Hawataki kuwa na vibaraka wanaozungumza haki. Hatujali wanachosema. Waache waseme wanalolitaka. Sisi tunasema:

قُلْ مُوتُوا بِغَيْظِكُمْ
“Kufeni kwa chuki zenu.” (03:119)

Mwandishi: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 167
Toleo la: 23-08-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 23rd, August 2014