Hadiyth Zilizo Swahiyh Kuhusu Sauti Ya Allaah

Katika mlango "ar-Radd 'alaa al-Jahmiyyah" wa "as-Swahiyh" yake kataja kwamba al-Bukhaariy na mnyororo wa kupunguzwa: "Ataita kwa Sauti inayosikika na wote walio karibu na mbali: “Mimi ndiye Maalik (Mfalme)! Mimi ndiye Maalik!”” Alikusanya mchanganyiko wa Hadiyth zote za Sauti. Mbali na kauli za Maswahabah na waliokuja baada yao, ni zaidi ya Hadiyth kumi kutoka kwa (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam). Nilizifuatilia na kuzikusanya. Iliyosahihi zaidi ni ile al-Bukhaariy kasimulia baada ya Hadiyth hii: 'Umar bin Hafs kanieleza: Baba yangu katueleza: al-A'mash katueleza: Abu Swaalih katueleza, kutoka kwa Abu Sa'iyd al-Khudriy ambaye kasema kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam ) kasema: "Allaah Atasema: "Aadam!" Hivyo atajibu: "Ninakuitikia." Kisha Ataita kwa Sauti: “Allaah Anakuamrisha utoe nje kundi katika Ummah wako Motoni." Mwandishi: Imaam Shams-ud-Diyn adh-Dhahabiy Chanzo: Kitaab-ul-´Arsh (2/95)

Katika mlango “ar-Radd ‘alaa al-Jahmiyyah” wa “as-Swahiyh” yake kataja kwamba al-Bukhaariy na mnyororo wa kupunguzwa:

“Ataita kwa Sauti inayosikika na wote walio karibu na mbali: “Mimi ndiye Maalik (Mfalme)! Mimi ndiye Maalik!””

Alikusanya mchanganyiko wa Hadiyth zote za Sauti. Mbali na kauli za Maswahabah na waliokuja baada yao, ni zaidi ya Hadiyth kumi kutoka kwa (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam). Nilizifuatilia na kuzikusanya. Iliyosahihi zaidi ni ile al-Bukhaariy kasimulia baada ya Hadiyth hii:

‘Umar bin Hafs kanieleza: Baba yangu katueleza: al-A’mash katueleza: Abu Swaalih katueleza, kutoka kwa Abu Sa’iyd al-Khudriy ambaye kasema kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam ) kasema:

“Allaah Atasema: “Aadam!” Hivyo atajibu: “Ninakuitikia.” Kisha Ataita kwa Sauti: “Allaah Anakuamrisha utoe nje kundi katika Ummah wako Motoni.”

Mwandishi: Imaam Shams-ud-Diyn adh-Dhahabiy
Chanzo: Kitaab-ul-´Arsh (2/95)


  • Kitengo: Uncategorized , Sauti ya Allaah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013