Fadhila Za Kukaa Msikitini Na Kusubiri Swalah Inayofuata

Na hizi ni fadhila kubwa kwa mwenye kungojea au akakaa Msikitini baada yake, anakuwa yuko katika Swalah, Malaika wanamsalia, wanamuombea maghfirah ilimradi tu hafanyi Bid´ah au kuudhi watu kama ilivyokuja katika Riwaayah nyingine. Hizi ni fadhila kubwa kukaa Msikitini na kusubiri Swalah ingine, au akawa anasoma Qur-aan anakuwa katika kheri.

  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 13th, January 2014