Elimu Ya ´Abdul-Hamiyd Kishk Imejaa Ukhurafi Na Bid´ah

Rafiki yangu akawa amenambia... kwa kuwa usiku mmoja alisikia darsa ya Shaykh al-Kaftaaru. Anaelezea visa. Ni "Qasswasuun" mpiga visa mkubwa. Kwa kiasi kikubwa ananikumbusha mtu mmoja - pamoja na kuwa kuna tofauti zingine baina yao - na baina ya Shaykh mmoja wa Misri Kishk. Kishk ni msimulizi mmoja wa khatari sana. Lakini kwa masikitiko makubwa ni kwamba elimu yake imejaa ukhurafi, Hadiyth dhaifu, Maudhuu´ na mfano wa hayo. Huyu (al-Kaftaaru), ni hali kadhalika, naye elimu yake imepinda katika Sunnah kabisa. Na ni Suufiy na ni Shaykh wa Twariyqah na hilo latosha.

Rafiki yangu akawa amenambia… kwa kuwa usiku mmoja alisikia darsa ya Shaykh al-Kaftaaru. Anaelezea visa. Ni “Qasswasuun” mpiga visa mkubwa. Kwa kiasi kikubwa ananikumbusha mtu mmoja – pamoja na kuwa kuna tofauti zingine baina yao – na baina ya Shaykh mmoja wa Misri Kishk. Kishk ni msimulizi mmoja wa khatari sana. Lakini kwa masikitiko makubwa ni kwamba elimu yake imejaa ukhurafi, Hadiyth dhaifu, Maudhuu´ na mfano wa hayo. Huyu (al-Kaftaaru), ni hali kadhalika, naye elimu yake imepinda katika Sunnah kabisa. Na ni Suufiy na ni Shaykh wa Twariyqah na hilo latosha.