Elimu Haitafutwi Kwa Siku Moja Mbili

Wema huu hauwi isipokuwa kwa elimu. Wema hauwi isipokuwa kwa elimu, na elimu inahitajia kutafutwa, na utafutaji unahitajia subira na kukaa kwa wanachuoni. Wewe unamuona mwanachuoni umri wake miaka sitini, khamsini na sibini. Je, wafikiria kuwa elimu ameipata kwa mchana na usiku mmoja tu? Hapana. Hakufikia kwa hili isipokuwa baada ya juhudi kubwa na muda mrefu. Ndugu wapendwa! Shikamaneni na wanachuoni hawa ambao wanakufunzeni Dini ya Allaah (Jalla wa ´Azz). Wala msishikamane isipokuwa tu na yule anayejulikana kwa Sunnah na akawa na msimamo juu yake.

Wema huu hauwi isipokuwa kwa elimu. Wema hauwi isipokuwa kwa elimu, na elimu inahitajia kutafutwa, na utafutaji unahitajia subira na kukaa kwa wanachuoni. Wewe unamuona mwanachuoni umri wake miaka sitini, khamsini na sibini. Je, wafikiria kuwa elimu ameipata kwa mchana na usiku mmoja tu? Hapana. Hakufikia kwa hili isipokuwa baada ya juhudi kubwa na muda mrefu.

Ndugu wapendwa! Shikamaneni na wanachuoni hawa ambao wanakufunzeni Dini ya Allaah (Jalla wa ´Azz). Wala msishikamane isipokuwa tu na yule anayejulikana kwa Sunnah na akawa na msimamo juu yake.