Dhul-Kifly Alikuwa Mtume?

Muulizaji: Ni nani Dhul-Kifly? Jibu: Hatujui zaidi ya jina lake. Alichotaja Allaah ndani ya Qur-aan ni Dhul-Kifly. Hatujui kitu zaidi ya Dhul-Kifly. Muulizaji: Ni Nabii au Mtume? Jibu: Allaah ndiye Mwenye kujua zaidi

Muulizaji: Ni nani Dhul-Kifly?

Jibu: Hatujui zaidi ya jina lake. Alichotaja Allaah ndani ya Qur-aan ni Dhul-Kifly. Hatujui kitu zaidi ya Dhul-Kifly.

Muulizaji: Ni Nabii au Mtume?

Jibu: Allaah ndiye Mwenye kujua zaidi