Demokrasia Ni Ukafiri

Demokrasia ni Twaghuut. Mwenye kujua demokrasia na akalingania watu kwayo ilihali anajua maana yake na akaridhika nayo ni kafiri na siyo Muislamu. Na mimi ninatoa changomoto kwa kila mwenye kujadili watu wa demokrasia. وَمَن لَّمْ يَحْكُم بِمَا أَنزَلَ اللّهُ فَأُوْلَـئِكَ هُمُ الْكَافِرُونَ ”Na wasiohukumu kwa aliyoteremsha Allaah, basi hao ndio makafiri.” (05:44) Kwenye ubunge kunaongelewa wabunge wameweka sheria hii na ile. Na huenda akawa ni "khammaara". Na huenda akawa ni bedui asiyejua, au mkaazi wa mjini asiyejua kitu. Na anasema mimi ndo muweka sheria. Allaah Anasema: أَمْ لَهُمْ شُرَكَاء شَرَعُوا لَهُم مِّنَ الدِّينِ مَا لَمْ يَأْذَن بِهِ اللَّهُ ”Au hao wana miungu ya kishirikina walio watungia dini asiyoitolea idhini Allaah?” (42:21) Muhimu ni kuwa sisi hii demokrasia tunaikufuru. Tunamuamini Allaah, Kitabu cha Allaah na Sunnah za Mtume za Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ninaita kila Muislamu kuikufuru, khaswa sisi wayemeni. Katusifia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na akasema: "Imani ni kwa wayemeni. Hekima ni kwa wayemeni. Fiqh ni kwa wayemeni." Na akaeleza kuhusu wayemeni: "Wana nyoyo laini na za uchaji Allaah." Na akasema pia, kama ilivyo katika swahiyh Muslim. "Mimi nitakuwa kwenye hodhi langu nikiwasukuma watu kwa [ajili ya] wayemeni."

Demokrasia ni Twaghuut. Mwenye kujua demokrasia na akalingania watu kwayo ilihali anajua maana yake na akaridhika nayo ni kafiri na siyo Muislamu.
Na mimi ninatoa changomoto kwa kila mwenye kujadili watu wa demokrasia.

وَمَن لَّمْ يَحْكُم بِمَا أَنزَلَ اللّهُ فَأُوْلَـئِكَ هُمُ الْكَافِرُونَ
”Na wasiohukumu kwa aliyoteremsha Allaah, basi hao ndio makafiri.” (05:44)

Kwenye ubunge kunaongelewa wabunge wameweka sheria hii na ile. Na huenda akawa ni “khammaara”. Na huenda akawa ni bedui asiyejua, au mkaazi wa mjini asiyejua kitu. Na anasema mimi ndo muweka sheria. Allaah Anasema:

أَمْ لَهُمْ شُرَكَاء شَرَعُوا لَهُم مِّنَ الدِّينِ مَا لَمْ يَأْذَن بِهِ اللَّهُ
”Au hao wana miungu ya kishirikina walio watungia dini asiyoitolea idhini Allaah?” (42:21)

Muhimu ni kuwa sisi hii demokrasia tunaikufuru. Tunamuamini Allaah, Kitabu cha Allaah na Sunnah za Mtume za Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ninaita kila Muislamu kuikufuru, khaswa sisi wayemeni. Katusifia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na akasema:

“Imani ni kwa wayemeni. Hekima ni kwa wayemeni. Fiqh ni kwa wayemeni.”

Na akaeleza kuhusu wayemeni:

“Wana nyoyo laini na za uchaji Allaah.”

Na akasema pia, kama ilivyo katika swahiyh Muslim.

“Mimi nitakuwa kwenye hodhi langu nikiwasukuma watu kwa [ajili ya] wayemeni.”