Da´wah Yetu Tunalingania Katika Haya…

Lililo la wajibu kwa wanafunzi leo ni wasimame kwa kuleta Tajdiyd (usafishaji) na kutengeneza popote watapokuwa. Da´wah yetu leo sehemu kubwa imesimama juu ya kusahihisha makosa haya, kuzisahihisha ´Aqiydah na kuzisahihisha ´ibaadah. Wakati tunaposema ya kwamba tunalingania katika Dini ya Allaah, haina maana kuwa wenzetu sio Waislamu na kwamba tunawaingiza katika Uislamu upya. Hapana. Huu ni uelewa wa kimakosa. Ni Waislamu. Lakini ni Waislamu ambao wameingiliwa na baadhi ya makosa katika ´Aqiydah zao, ´ibaadah, Ahkaam, mu´amala, siasa na mambo yao ya uchumi. Huu ndio uhakika wa mambo. Mwandishi: ´Allaamah Muhammad Amaan al-Jaamiy Chanzo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 14 Toleo la: 24-05-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Lililo la wajibu kwa wanafunzi leo ni wasimame kwa kuleta Tajdiyd (usafishaji) na kutengeneza popote watapokuwa. Da´wah yetu leo sehemu kubwa imesimama juu ya kusahihisha makosa haya, kuzisahihisha ´Aqiydah na kuzisahihisha ´ibaadah. Wakati tunaposema ya kwamba tunalingania katika Dini ya Allaah, haina maana kuwa wenzetu sio Waislamu na kwamba tunawaingiza katika Uislamu upya. Hapana. Huu ni uelewa wa kimakosa. Ni Waislamu. Lakini ni Waislamu ambao wameingiliwa na baadhi ya makosa katika ´Aqiydah zao, ´ibaadah, Ahkaam, mu´amala, siasa na mambo yao ya uchumi. Huu ndio uhakika wa mambo.

Mwandishi: ´Allaamah Muhammad Amaan al-Jaamiy
Chanzo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 14
Toleo la: 24-05-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Da´wah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 24th, May 2014