Da´wah Ya Ihyaa’ at-Turaath Imejengeka Juu Ya Maslahi Ya Pesa Na Kufarikanisha

Baada ya kufichukua mambo yote na ikaonekana Da´wah yake - ´Abdullaah as-Sabt - ni Da´wah ya taasisi Ihyaa´ at-Turaath ambayo iko kwa ajili ya pesa. Inawezekana ya kwamba yeye na ´Abdur-Rahmaan [´Abdul-Khaaliq] wametofautiana kwa ajili ya maslahi ya kidunia. Je, wana ´Aqiydah tofauti? Hapana, ´Aqiydah ni moja. Je, wana kauli tofauti juu ya upigaji kura? Kwa mujibu wao inajuzu. Wanasema ya kuwa wanataka kufarikanisha Da´wah ya Ahl-us-Sunnah, jambo ambalo ndio alilofanya. Wamefarikanisha Da´wah ya Ahl-us-Sunnah Indonesia na kadhalika Sudan, Jeddah, Misri, Saudi Arabia, Yemen na nchi nyinginezo.

Baada ya kufichukua mambo yote na ikaonekana Da´wah yake – ´Abdullaah as-Sabt – ni Da´wah ya taasisi Ihyaa´ at-Turaath ambayo iko kwa ajili ya pesa. Inawezekana ya kwamba yeye na ´Abdur-Rahmaan [´Abdul-Khaaliq] wametofautiana kwa ajili ya maslahi ya kidunia. Je, wana ´Aqiydah tofauti? Hapana, ´Aqiydah ni moja. Je, wana kauli tofauti juu ya upigaji kura? Kwa mujibu wao inajuzu. Wanasema ya kuwa wanataka kufarikanisha Da´wah ya Ahl-us-Sunnah, jambo ambalo ndio alilofanya.

Wamefarikanisha Da´wah ya Ahl-us-Sunnah Indonesia na kadhalika Sudan, Jeddah, Misri, Saudi Arabia, Yemen na nchi nyinginezo.