Da´wah Ya Bure Na Duruus Na Watu Wenye Mashaka

Ahl-us-Sunnah wanawafunza watu Sunanh za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hawataki kutoka kwao ujira wala shukurani. Hawataki kuchukua fomu za kupata sauti au kupigiwa kura. Hawataki wawape pesa. Wao wanachotaka tu ni kuwafunza. Hatuchukui wala kutoa. Hata hivo hatuna chakuwapa na hatuwaombi pesa ili kulingania. Tunalingania katika njia ya Allaah (´Azza wa Jalla). Tunawashauri ndugu wasikae na ndugu ´Abdullaah al-Martadhiy. Usikae naye. Ana mashaka. Yeye mwenyewe ana mashaka. Vipi utakaa na mtu ambaye yeye mwenyewe amejawa na mashaka? Alisoma hapa na alikuwa msitari wa mbele. Aliwafunza ndugu zake na mashaka yote hayo alikuwa hana. Sijui ni vipi alipata mashaka hayo.

Ahl-us-Sunnah wanawafunza watu Sunanh za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hawataki kutoka kwao ujira wala shukurani. Hawataki kuchukua fomu za kupata sauti au kupigiwa kura. Hawataki wawape pesa. Wao wanachotaka tu ni kuwafunza. Hatuchukui wala kutoa. Hata hivo hatuna chakuwapa na hatuwaombi pesa ili kulingania. Tunalingania katika njia ya Allaah (´Azza wa Jalla).

Tunawashauri ndugu wasikae na ndugu ´Abdullaah al-Martadhiy. Usikae naye. Ana mashaka. Yeye mwenyewe ana mashaka. Vipi utakaa na mtu ambaye yeye mwenyewe amejawa na mashaka? Alisoma hapa na alikuwa msitari wa mbele. Aliwafunza ndugu zake na mashaka yote hayo alikuwa hana. Sijui ni vipi alipata mashaka hayo.