Da´wah Au Jihaad?

Swali: Kuna mtu analingania katika Uislamu. Je, ina maana kuwa ni Mujaahid vilevile na kwamba sio wajibu kwake kupigana Jihaad Afghanistan? al-Albaaniy: Hapana, sivyo. Jihaad ambayo wewe unazungumzia (yaani Da´wah) ni faradhi kwa baadhi ya Waislamu. Ama Jihaad Afghanistan, ni faradhi kwa Waislamu wote kushiriki. Jihaad ambayo ni wajibu kwa baadhi ya watu haitoshelezi kwa ile Jihaad ambayo ni wajibu kwa watu wote. Swali: Ina maana udhuru wa Kishari´ah tu ndio uwezao kumzuia mtu ikawa sio lazima kwake kushiriki Afghanistan? al-Albaaniy: Ndio, vinginevyo nini? Muulizaji: Kwa mfano nini? al-Albaaniy: Kwa mfano ugonjwa – Allaah Akuongoze.

Swali: Kuna mtu analingania katika Uislamu. Je, ina maana kuwa ni Mujaahid vilevile na kwamba sio wajibu kwake kupigana Jihaad Afghanistan?

al-Albaaniy: Hapana, sivyo. Jihaad ambayo wewe unazungumzia (yaani Da´wah) ni faradhi kwa baadhi ya Waislamu. Ama Jihaad Afghanistan, ni faradhi kwa Waislamu wote kushiriki. Jihaad ambayo ni wajibu kwa baadhi ya watu haitoshelezi kwa ile Jihaad ambayo ni wajibu kwa watu wote.

Swali: Ina maana udhuru wa Kishari´ah tu ndio uwezao kumzuia mtu ikawa sio lazima kwake kushiriki Afghanistan?

al-Albaaniy: Ndio, vinginevyo nini?

Muulizaji: Kwa mfano nini?

al-Albaaniy: Kwa mfano ugonjwa – Allaah Akuongoze.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (229)
  • Kitengo: Uncategorized , Da´wah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 9th, February 2014