Dansi Ya Mke Kwa Mume Wake

Ama kuhusiana na dansi ya mwanamke kwa mume wake ikiwa hakuna yeyote mbele yao, hakuna neno. Inaweza hata vile vile kuchangia kwa mwanaume kuvutiwa zaidi kwa mwanamke. Kila ambacho kinamvutia mwanaume kwa mwanamke kinahitajika maadamu kwa dhati yake [kitu hicho] sio haramu.

  • Author: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn. al-Liqaa' ash-Shahriy (12)
  • Kitengo: Uncategorized , Familia
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 15th, January 2014