Baba Mkwe Anataka Mkwe Wake Asimwingilie Binti Yake Kwa Muda Fulani

Tunajua kuwa kuna baba ambao huweka sharti ya kuwa mtoto wake (mkwe wake) asimwingilie binti yake katika nusu ya ule mwaka wa kwanza. Baada ya muda mtoto huyo anashindwa na kumwingilia mke wake. Hii inajuzu. Haya makatazo ya kimila hayana msingi katika Dini, heshima na usalama. Ni katika mambo ambayo Allaah Hakuteremsha jambo lolote kutolea dalili hilo. Maadamu walii (wa mwanamke) amemuoza mwanamke kwa mwanaume na kumeshuhudia mashahidi wawili, basi mwanamke huyo anakuwa mke wake na yeye (mume) anaweza kwenda pamoja naye popote atakapo.

  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (263)
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 17th, December 2013