az-Zindaaniy Na Demokrasia

Kuna kundi lilikuja kwangu na kunitembelea. Wakajirudi wakati tulipowanasihi kuachana na Hizbiyyah. Nafikiria masikini - az-Zindaaniy - alianza kuchemka. Akataka kuharibu kikao na kusema: "Ninajisikia vibaya juu mgawanyiko wote huu. Inahusu masuala madogo madogo (matawi)." Majini! Nitawapa mfano hivi sasa. Sijui ni Hizbiyyah ipi mko nayo na kama imejificha au iko waziwazi. Nataka tu muwe waangalifu. Amesema kuwa inahusiana na tofauti kati ya masuala madogo madogo. Nikamwambia mara mbili au tatu ya kwamba ninampa changamoto kutaja suala moja dogo ambalo tuna rai tofauti juu yake. Je, tuna tofauti juu ya kwamba mkono wa kulia unatakiwa kuwa juu ya mkono wa kushoto katika Swalah? Je, tuna tofauti juu ya kwamba mikono inatakiwa kunyanyuliwa? Je, tuna tofauti kwa sababu ya Basmalah wakati wa Wudhuu? Akajikiria na kuwaza. Akakifiria muda mrefu. Kisha akasema: "Kwa mfano demokrasia." Ndugu! Kwa mujibu wa masikini huyu demokrasia ni suala dogo! Demokrasia inauharibisha Uislamu kikamilifu na ni Twaaghuut!

Kuna kundi lilikuja kwangu na kunitembelea. Wakajirudi wakati tulipowanasihi kuachana na Hizbiyyah. Nafikiria masikini – az-Zindaaniy – alianza kuchemka. Akataka kuharibu kikao na kusema:

“Ninajisikia vibaya juu mgawanyiko wote huu. Inahusu masuala madogo madogo (matawi).”

Majini! Nitawapa mfano hivi sasa. Sijui ni Hizbiyyah ipi mko nayo na kama imejificha au iko waziwazi. Nataka tu muwe waangalifu. Amesema kuwa inahusiana na tofauti kati ya masuala madogo madogo. Nikamwambia mara mbili au tatu ya kwamba ninampa changamoto kutaja suala moja dogo ambalo tuna rai tofauti juu yake. Je, tuna tofauti juu ya kwamba mkono wa kulia unatakiwa kuwa juu ya mkono wa kushoto katika Swalah? Je, tuna tofauti juu ya kwamba mikono inatakiwa kunyanyuliwa? Je, tuna tofauti kwa sababu ya Basmalah wakati wa Wudhuu? Akajikiria na kuwaza. Akakifiria muda mrefu. Kisha akasema:

“Kwa mfano demokrasia.”

Ndugu! Kwa mujibu wa masikini huyu demokrasia ni suala dogo! Demokrasia inauharibisha Uislamu kikamilifu na ni Twaaghuut!