Asiyeswali Uislamu Wake Uko Wapi?

Swali: Mtu ambae anajinasibisha na Uislamu lakini haswali... ´Allaamah al-Fawzaan: Uislamu wake uko wapi? Asiyeswali sio Muislamu. Uislamu wa bila Swalah?! Muulizaji: Je inajuzu kula katika kichinjo chake? ´Allaamah al-Fawzaan: Hapana! Hapana haijuzu kula katika kichinjo chake. Ikiwa anaacha Swalah kwa kukusudia, huyu sio Muislamu wala sio Halali kichinjo chake.

Swali:
Mtu ambae anajinasibisha na Uislamu lakini haswali…

´Allaamah al-Fawzaan:
Uislamu wake uko wapi? Asiyeswali sio Muislamu. Uislamu wa bila Swalah?!

Muulizaji:
Je inajuzu kula katika kichinjo chake?

´Allaamah al-Fawzaan:
Hapana! Hapana haijuzu kula katika kichinjo chake. Ikiwa anaacha Swalah kwa kukusudia, huyu sio Muislamu wala sio Halali kichinjo chake.