´Aqiydah Ya Ahlu-us-Sunnah Kuhusu Kuonekana Kwa Allaah

Imaam Ibn Baaz: Hili limethibiti kwa Ahl-us-Sunnah wal- Jamaa´aah, kuwa waumini watamuona Mola Wao (Jalla wa ´Alaa) siku ya Qiyaamah. Hali kadhalika Peponi. Muhimu ni kuwa kuonekana kwa Allaah (Jalla wa ´Alaa) ni jambo limethibiti kwa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´aah. Waumini watamuona; katika majini, watu, waraabu na wasiokuwa waraabu watamuona waumini Peponi na katika uwanja siku ya Qiyaamah. Kwa namna Apendayo Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala), lakini [macho] yahamfikilii [hapa duniani]. Kama Alivyosema: لاَّ تُدْرِكُهُ الأَبْصَارُ “Macho hayamfikilii.” (06:103) Hayamfikilii [hapa duniani]. Wao watamuona Allaah (Jalla wa ´Alaa) uono wa kihakika [siku ya Qiyaamah], kama wanavyoona jua wazi wazi bila kizuizi. Kama wanavyoona mwezi mpevu. Na hakuna kitu kitakachowazuia kumuona siku hiyo. Mwenye kutaka hilo awe na msimamo katika Dini ya Allaah, ahifadhi Swalah tano khaswa Swalah ya Fajr na ´Aswr. Kwa kuwa hizi ni katika sababu za kumuona Allaah siku ya Qiyaamah na Peponi.

Imaam Ibn Baaz:

Hili limethibiti kwa Ahl-us-Sunnah wal- Jamaa´aah, kuwa waumini watamuona Mola Wao (Jalla wa ´Alaa) siku ya Qiyaamah. Hali kadhalika Peponi. Muhimu ni kuwa kuonekana kwa Allaah (Jalla wa ´Alaa) ni jambo limethibiti kwa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´aah. Waumini watamuona; katika majini, watu, waraabu na wasiokuwa waraabu watamuona waumini Peponi na katika uwanja siku ya Qiyaamah. Kwa namna Apendayo Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala), lakini [macho] yahamfikilii [hapa duniani]. Kama Alivyosema:

لاَّ تُدْرِكُهُ الأَبْصَارُ
“Macho hayamfikilii.” (06:103)

Hayamfikilii [hapa duniani]. Wao watamuona Allaah (Jalla wa ´Alaa) uono wa kihakika [siku ya Qiyaamah], kama wanavyoona jua wazi wazi bila kizuizi. Kama wanavyoona mwezi mpevu. Na hakuna kitu kitakachowazuia kumuona siku hiyo. Mwenye kutaka hilo awe na msimamo katika Dini ya Allaah, ahifadhi Swalah tano khaswa Swalah ya Fajr na ´Aswr. Kwa kuwa hizi ni katika sababu za kumuona Allaah siku ya Qiyaamah na Peponi.


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • http://youtu.be/AToy0Z1rDNM
  • Kitengo: Uncategorized , Tawhiyd na ´Aqiydah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 20th, October 2013