´Allaamah Zayd al-Madkhaliy Kuhusu Kushuka Kwa Allaah

Katika Hadiyth ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam): “Mola Wetu anashuka.” Kuna uthibitisho wa Sifa ya kimatendo kwa Allaah (´Azza wa Jalla) inayolingana na Ukubwa na Utukufu Wake. Haijuzu kuiharibu, kuibadili wala kuifasiri kwa tafsiri zenye kulaumika. Bali tuamini kwamba Allaah Hushuka kihakika na ushukaji Wake unalingana na Ukubwa na Utukufu Wake kwa kuwa hana anayelingana na Yeye wala mshirika katika viumbe Vyake. Mwandishi: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn Ibn Qudaamah al-Maqdisiy Chanzo: Sharh Lum´at-il-I´tiqaad Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=882&size=2h&ext=.rm

Katika Hadiyth ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Mola Wetu anashuka.”

Kuna uthibitisho wa Sifa ya kimatendo kwa Allaah (´Azza wa Jalla) inayolingana na Ukubwa na Utukufu Wake. Haijuzu kuiharibu, kuibadili wala kuifasiri kwa tafsiri zenye kulaumika. Bali tuamini kwamba Allaah Hushuka kihakika na ushukaji Wake unalingana na Ukubwa na Utukufu Wake kwa kuwa hana anayelingana na Yeye wala mshirika katika viumbe Vyake.

Mwandishi: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn Ibn Qudaamah al-Maqdisiy
Chanzo: Sharh Lum´at-il-I´tiqaad
Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy
Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=882&size=2h&ext=.rm


  • Kitengo: Uncategorized , Kushuka (kuteremka) kwa Allaah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 2nd, April 2014