´Allaamah Rabiy´ Kuhusu Yuusuf al-Qaradhwaawiy Na Kitabu “al-Halaal wal-Haraam”

Nijualo kuhusu al-Qaradhwaawiy ni kuwa ana kitabu kina upotevu mwingi sana. Na (kitabu chake) "al-Halaal wal-Haraam" kampiga Radd Shaykh al-Fawzaan - kwa (kuandika) kitabu. Na alifanya nae mjadala Shaykh al-Albaaniy kwa kutoa (kutumia) kwake Hadiyth katika (kitabu chake) cha "al-Halaal wal-Haraam." Jamaa kazama katika batili, kazama sana. Lenye kusitikisha sana katika kutetea kwake batili na kuisambaza. Na kwenda kwake kinyume na Sunnah na kuwasapoti Ahl-ul-Bid´ah na kulingania katika upotevu. Na anasema Manaswara ni ndugu zetu. Na anasema "Kwanini mnasema kuwa Manaswara sio ndugu zetu?". Na anasema "Kwanini mnasema Ashaa´irah si katika Ahl-us-Sunnah?", na kadhalika kwa kutetea batili. Na kuwapenda Rawaafidhw (Mashia). Kama ilivyo kawaida ya al-Ikhwaan (al-Muslimuun). Ambao wanaiharibu dini hii kwa masikitiko makubwa.

Nijualo kuhusu al-Qaradhwaawiy ni kuwa ana kitabu kina upotevu mwingi sana. Na (kitabu chake) “al-Halaal wal-Haraam” kampiga Radd Shaykh al-Fawzaan – kwa (kuandika) kitabu. Na alifanya nae mjadala Shaykh al-Albaaniy kwa kutoa (kutumia) kwake Hadiyth katika (kitabu chake) cha “al-Halaal wal-Haraam.”

Jamaa kazama katika batili, kazama sana. Lenye kusitikisha sana katika kutetea kwake batili na kuisambaza. Na kwenda kwake kinyume na Sunnah na kuwasapoti Ahl-ul-Bid´ah na kulingania katika upotevu. Na anasema Manaswara ni ndugu zetu. Na anasema “Kwanini mnasema kuwa Manaswara sio ndugu zetu?”. Na anasema “Kwanini mnasema Ashaa´irah si katika Ahl-us-Sunnah?”, na kadhalika kwa kutetea batili. Na kuwapenda Rawaafidhw (Mashia). Kama ilivyo kawaida ya al-Ikhwaan (al-Muslimuun). Ambao wanaiharibu dini hii kwa masikitiko makubwa.