´Allaamah an-Najmiy Kuhusu Shaykh Muqbil al-Waadi´iy

Hata kama tunamkosoa Shaykh Muqbil kutokana na maneno yake kuhusu baadhi ya watawala wa nchi hii, aliongea hivyo kwa sababu tu nchi ilimpigia marfuku kuingia katika nchi hii. Hata hivyo nchi ilikuwa na sababu zake. Ama kuhusiana na mafundisho yake na wanafunzi wake na mielekeo ya Da´wah yake, mielekeo yake ni Salafiy mbali na suala hili ambalo alikuwa anavuka mipaka - Allaah Amrahamu kwa yale alopetuka mipaka. Kwa ajili hiyo serikali ya Yemen ikajua kuwa sasa kuwa wanafunzi wa Shaykh Muqbil hawala lolote kuhusiana na mielekeo mibaya kama kuwakufurisha Waislamu, uasi dhidi ya nchi na uharibifu. Mambo haya ni katika mfumo wa (al-Ikhwaan) al-Muslimuun na vizazi vyake kama Suruuriyyuun, Qutbiyyuun na wengineo. Baadaye Allaah Akamsahilishia Shaykh Muqbil kuweza kuingia Saudi Arabia, na hilo lilikuwa wakati wa maradhi yake. Saudi Arabia ikampokea kwa njia nzuri. Nchi ikamsimamia matitabu yake na malipo hata matibabu yake nje ya nchi. Kisha akarudia katika nchi (Saudi Arabia) na akabaki katika Hospitali mpaka alipokufa - Alalah Amrahamu - na akazikwa katika makaburi ya ´Adl Makkah.

Hata kama tunamkosoa Shaykh Muqbil kutokana na maneno yake kuhusu baadhi ya watawala wa nchi hii, aliongea hivyo kwa sababu tu nchi ilimpigia marfuku kuingia katika nchi hii. Hata hivyo nchi ilikuwa na sababu zake.

Ama kuhusiana na mafundisho yake na wanafunzi wake na mielekeo ya Da´wah yake, mielekeo yake ni Salafiy mbali na suala hili ambalo alikuwa anavuka mipaka – Allaah Amrahamu kwa yale alopetuka mipaka. Kwa ajili hiyo serikali ya Yemen ikajua kuwa sasa kuwa wanafunzi wa Shaykh Muqbil hawala lolote kuhusiana na mielekeo mibaya kama kuwakufurisha Waislamu, uasi dhidi ya nchi na uharibifu. Mambo haya ni katika mfumo wa (al-Ikhwaan) al-Muslimuun na vizazi vyake kama Suruuriyyuun, Qutbiyyuun na wengineo.

Baadaye Allaah Akamsahilishia Shaykh Muqbil kuweza kuingia Saudi Arabia, na hilo lilikuwa wakati wa maradhi yake. Saudi Arabia ikampokea kwa njia nzuri. Nchi ikamsimamia matitabu yake na malipo hata matibabu yake nje ya nchi. Kisha akarudia katika nchi (Saudi Arabia) na akabaki katika Hospitali mpaka alipokufa – Alalah Amrahamu – na akazikwa katika makaburi ya ´Adl Makkah.


  • Author: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy. ar-Radd al-Muhabbar, uk. 65
  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 22nd, January 2014