´Allaamah al-Waswaabiy Kuhusu Kitabu Cha ´Aa´idh al-Qarniy “Laa Tahzan”

Kitabu "Laa Tahzan" cha al-Qarniy sio kitabu cha kutegemea. Kwa kuwa al-Qarniy katika mambo ya ´Aqiydah ni mwenye kuchanga changa mambo. Anachanganya kati ya ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah, Khawaarij, Murji-ah na Jabriyyah. Ni mwenye kuchanganya mambo katika ´Aqiydah. Kadhalika hata vitabu vyake vingi. Hata Khutbah zake zina uendaji kinyume na Shari´ah. Tafsiyr yake "at-Tafsiyr al-Muyassar" kuna uendaji kinyume. Kuna ´Aqiydah za ki-Khawaarij. Ni katika wale wanaoweka sumu katika asali. Ima anafanya hilo kwa kukusudio au kwa ujinga. Ni wajibu kwa Muislamu asiamini mtu ambaye hali yake ni kama hii. ´Aqiydah yake imechangwa changwa. Inatosha kuwa kwake na upindaji. Ama kuchukua hilo ni kosa. Umri ni mfupi. Usiache umri wako kwenda katika majaribio. Ijenge ´Aqiydah yako juu ya ´Aqiydah sahihi kuanzia mwanzo. Soma kwa wanachuoni wanaoaminika.

Kitabu “Laa Tahzan” cha al-Qarniy sio kitabu cha kutegemea. Kwa kuwa al-Qarniy katika mambo ya ´Aqiydah ni mwenye kuchanga changa mambo. Anachanganya kati ya ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah, Khawaarij, Murji-ah na Jabriyyah. Ni mwenye kuchanganya mambo katika ´Aqiydah. Kadhalika hata vitabu vyake vingi. Hata Khutbah zake zina uendaji kinyume na Shari´ah. Tafsiyr yake “at-Tafsiyr al-Muyassar” kuna uendaji kinyume. Kuna ´Aqiydah za ki-Khawaarij. Ni katika wale wanaoweka sumu katika asali. Ima anafanya hilo kwa kukusudio au kwa ujinga.

Ni wajibu kwa Muislamu asiamini mtu ambaye hali yake ni kama hii. ´Aqiydah yake imechangwa changwa. Inatosha kuwa kwake na upindaji. Ama kuchukua hilo ni kosa. Umri ni mfupi. Usiache umri wako kwenda katika majaribio. Ijenge ´Aqiydah yako juu ya ´Aqiydah sahihi kuanzia mwanzo. Soma kwa wanachuoni wanaoaminika.