´Allaamah al-Waswaabiy Kuhusu ´Amr Khaalid

´Amr Khaalid anasema kuhusiana na Hadiyth: "Wanawake ni wapungufu wa akili na Dini." Anaipinga. Wewe ni nani ewe ´Amr Khaalid? Ninamuomba Allaah Akuongoze wewe na sisi. Unampinga Mtume (´alayhis-Salaam)? Na anataka kuipindua Hadiyth na kusema kuwa Mtume alikuwa anafanya mzaha (kutania) na wanawake tu. Je, Mtume anafanya mzaha na kudanganya?! Ni kweli alikuwa akifanya mzaha, ila hasemi ila kweli tu. Alipokuwa anafanya mzaha hasemi ila kweli tu. Sawa wakati wa kufanya mzaha au akiwa Jiddi, hasemi ila kweli tu. Haiwezekani kwa Mtume (´alayhis-Salaam). ´Amr Khaalid anaipinga kwa kukazia na kusema alikuwa [Mtume] anatania na wanawake.

´Amr Khaalid anasema kuhusiana na Hadiyth:

“Wanawake ni wapungufu wa akili na Dini.”

Anaipinga. Wewe ni nani ewe ´Amr Khaalid? Ninamuomba Allaah Akuongoze wewe na sisi. Unampinga Mtume (´alayhis-Salaam)? Na anataka kuipindua Hadiyth na kusema kuwa Mtume alikuwa anafanya mzaha (kutania) na wanawake tu. Je, Mtume anafanya mzaha na kudanganya?! Ni kweli alikuwa akifanya mzaha, ila hasemi ila kweli tu. Alipokuwa anafanya mzaha hasemi ila kweli tu. Sawa wakati wa kufanya mzaha au akiwa Jiddi, hasemi ila kweli tu. Haiwezekani kwa Mtume (´alayhis-Salaam). ´Amr Khaalid anaipinga kwa kukazia na kusema alikuwa [Mtume] anatania na wanawake.