´Allaamah al-Waadi´iy Kuhusu Kumjua Kwake az-Zindaaniy

Tulichezesha mikanda miwili kwa jina "al-Burkaan li Nafs Jaami´at-il-Iymaan". Tuliposikia kelele zenu tukachezesha mkanda wa tatu. Mkiendelea, na sisi tunaendelea. Na si kwa uwezo wetu na tunamshukuru Allaah kwa hilo. Nimesoma hali yenu kwa umakini. Najua hali yenu kutokea takriban miaka ishirini na tano. Lilianza wakati nilipokuwa al-Madiynah na baadaye Sa´dah na kisha nikachanganyika na nyinyi San´aa´. Najua mnachofikiria. Ninawausia kutubu kwa Allaah. Mkitubu kwa Allaah mtakuwa ndugu zetu na tutakuwa wamoja. Nimesema ya kwamba mkitubu kwa Allaah kikwelikweli tutakuwa pamoja dhidi ya wakomunisti, kundi la Bat´h na kundi la Naasir. Hata hivyo hatuko wote katika hali hii. Tunajikinga kwa Allaah na nyinyi. Hatuwaweki katika kiwango kimoja kama makafiri, nyinyi ni Waislamu. Lakini wanaojua yale ambayo al-Ikhwaa al-Muslimuun anaamini atakubali kuwa ni wapotevu. ´Abdul-Majiyd [az-Zindaaniy] ni mpotevu na anawapoteza wengine.

Tulichezesha mikanda miwili kwa jina “al-Burkaan li Nafs Jaami´at-il-Iymaan”. Tuliposikia kelele zenu tukachezesha mkanda wa tatu. Mkiendelea, na sisi tunaendelea.

Na si kwa uwezo wetu na tunamshukuru Allaah kwa hilo. Nimesoma hali yenu kwa umakini. Najua hali yenu kutokea takriban miaka ishirini na tano. Lilianza wakati nilipokuwa al-Madiynah na baadaye Sa´dah na kisha nikachanganyika na nyinyi San´aa´. Najua mnachofikiria. Ninawausia kutubu kwa Allaah. Mkitubu kwa Allaah mtakuwa ndugu zetu na tutakuwa wamoja.

Nimesema ya kwamba mkitubu kwa Allaah kikwelikweli tutakuwa pamoja dhidi ya wakomunisti, kundi la Bat´h na kundi la Naasir. Hata hivyo hatuko wote katika hali hii. Tunajikinga kwa Allaah na nyinyi. Hatuwaweki katika kiwango kimoja kama makafiri, nyinyi ni Waislamu. Lakini wanaojua yale ambayo al-Ikhwaa al-Muslimuun anaamini atakubali kuwa ni wapotevu. ´Abdul-Majiyd [az-Zindaaniy] ni mpotevu na anawapoteza wengine.


  • Author: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy. Ta´ziyz-ul-Burkaan, uk. 63-64
  • Kitengo: Uncategorized , az-Zindaaniy, ´Abdul-Majiyd
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 11th, January 2014