´Allaamah al-Abbaad Kuhusu Jamaa´at-ut-Tabliygh

Jambo la kwanza kabisa, ni mfumo mpya ambao umetoka Delhi na sio Makkah wala al-Madiynah. Chimbuko lao ni kutoka India nchi ambayo imejaa ukhurafi na Bid´ah. Hata hivyo, katika nchi hiyo kuna Ahl-us-Sunnah ambao wameshikamana na Sunnah na mfumo sahihi. Mfano Ahl-ul-Hadiyth ambao ni wabora kabisa katika mikoa hiyo. Asli ya kundi hili limetoka katika nchi hiyo iliyotajwa na mji huo uliotajwa. Limejengeka juu ya mambo maalum yaliyozushwa na mtu huyo huyo aliyezusha mfumo huu. Muasisi wa kundi ni katika Ahl-ul-Bid´ah na mwanaharakati wa Suufiyyah ambaye yuko na ´Aqiydah mbovu. Ni Bid´ah mpya iliyozushwa. Katika wao kuna Suufiyyah na Ashaa´irah wasiofuata Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah katika ´Aqiydah na Manhaj. Mzungumzaji: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad Mkanda: Tahdhiyr min Jamaa´at-it-Tabliygh Marejeleo: Jamaa´at-ut-Tabliygh fiyl-Qaarah al-Hindiyyah, uk. 448-449 Toleo la: 21-06-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Jambo la kwanza kabisa, ni mfumo mpya ambao umetoka Delhi na sio Makkah wala al-Madiynah. Chimbuko lao ni kutoka India nchi ambayo imejaa ukhurafi na Bid´ah. Hata hivyo, katika nchi hiyo kuna Ahl-us-Sunnah ambao wameshikamana na Sunnah na mfumo sahihi. Mfano Ahl-ul-Hadiyth ambao ni wabora kabisa katika mikoa hiyo.

Asli ya kundi hili limetoka katika nchi hiyo iliyotajwa na mji huo uliotajwa. Limejengeka juu ya mambo maalum yaliyozushwa na mtu huyo huyo aliyezusha mfumo huu.

Muasisi wa kundi ni katika Ahl-ul-Bid´ah na mwanaharakati wa Suufiyyah ambaye yuko na ´Aqiydah mbovu. Ni Bid´ah mpya iliyozushwa. Katika wao kuna Suufiyyah na Ashaa´irah wasiofuata Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah katika ´Aqiydah na Manhaj.

Mzungumzaji: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Mkanda: Tahdhiyr min Jamaa´at-it-Tabliygh
Marejeleo: Jamaa´at-ut-Tabliygh fiyl-Qaarah al-Hindiyyah, uk. 448-449
Toleo la: 21-06-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Jamaa´at-ut-Tabliygh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 21st, June 2014