´Allaamah Ahmad an-Najmiy Kuhusu Mashhuur Hasan al-Salmaan

Muulizaji: Vipi tumnasihi? Vipi tuwanasihi vijana hapa Jordan? ´Allaamah an-Najmiy: Ninawanasihi vijana wasimsikilize na wala wasihudhurie duruus zake. Muulizaji: Je kutokana na haya mambo tunaweza kusema kuwa mtu huyu ni wa Bid´ah au mpotofu? ´Allaamah an-Najmiy: Yatosheleza kuwa hivyo kama anamuheshimu na kumsema vizuri Abul-Hasan na al-Maghraawiy. Muulizaji: Yatosha kuwa mtu wa Bid´ah? ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Ndio. Muulizaji: Wallaahi si haya tu Shaykh. Mpaka hivi leo anawatetea. Hasemi kuwa al-Qaradhwaawiy ni mtu wa Bid´ah au mpotofu anawapoteza wengine. Niliongea nae na imesajiliwa. Na nilimwambia hatujawahi kukusikia hata mara moja ukisema kuwa al-Qaradhwaawiy ni mpotofu na ni mtu wa Bid´ah anaepoteza wengine. Anasema mimi siwezi kujumuisha kauli zote hizi na kuzisema katika majlisi moja, mbali na yote aliosema. Bali anasema kuwa al-Qaradhwaawiy ni mwanachuoni na msomi. ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Subhaana Allaah! Kwani mtu huyu anafuata Sunnah au kapinda katika Sunnah? Muulizaji: Wallaahi Shaykh mpaka hivi leo anadai kuwa ni katika wanafunzi wa Shaykh al-Albaaniy. Naweza kukupata jina lake? Anaitwa Mashhuur Hasan al-Salmaan. ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Ni Mashhuur? Muulizaji: Ndio. ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Ni yule anayefanya uhakiki? Muulizaji: Anafanya nini? ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Anafanya uhakiki? Muulizaji: Ndio, sahihi. Ni mtu anafanya uhakiki. ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Aha sawa! Hasbuna Allaah wa Ni´imal wakiyl. Muulizaji: Unajua nini kutoka kwake Shaykh? ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Mwanzoni nilikuwa sijui kitu. Nilikuwa sijamwangalia au kusikia kitu kutoka kwake. Muulizaji: Wallaahi Shaykh nilikaa nae karibu mwaka mmoja tukifanya utafiti katika Maktabah. Nilipokuja katika masuala haya, nikamuacha. ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Muache! Vijana wanaokutii waambie wasikae nae.

Muulizaji:
Vipi tumnasihi? Vipi tuwanasihi vijana hapa Jordan?

´Allaamah an-Najmiy:
Ninawanasihi vijana wasimsikilize na wala wasihudhurie duruus zake.

Muulizaji:
Je kutokana na haya mambo tunaweza kusema kuwa mtu huyu ni wa Bid´ah au mpotofu?

´Allaamah an-Najmiy:
Yatosheleza kuwa hivyo kama anamuheshimu na kumsema vizuri Abul-Hasan na al-Maghraawiy.

Muulizaji:
Yatosha kuwa mtu wa Bid´ah?

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Ndio.

Muulizaji:
Wallaahi si haya tu Shaykh. Mpaka hivi leo anawatetea. Hasemi kuwa al-Qaradhwaawiy ni mtu wa Bid´ah au mpotofu anawapoteza wengine. Niliongea nae na imesajiliwa. Na nilimwambia hatujawahi kukusikia hata mara moja ukisema kuwa al-Qaradhwaawiy ni mpotofu na ni mtu wa Bid´ah anaepoteza wengine. Anasema mimi siwezi kujumuisha kauli zote hizi na kuzisema katika majlisi moja, mbali na yote aliosema. Bali anasema kuwa al-Qaradhwaawiy ni mwanachuoni na msomi.

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Subhaana Allaah! Kwani mtu huyu anafuata Sunnah au kapinda katika Sunnah?

Muulizaji:
Wallaahi Shaykh mpaka hivi leo anadai kuwa ni katika wanafunzi wa Shaykh al-Albaaniy. Naweza kukupata jina lake? Anaitwa Mashhuur Hasan al-Salmaan.

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Ni Mashhuur?

Muulizaji:
Ndio.

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Ni yule anayefanya uhakiki?

Muulizaji:
Anafanya nini?

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Anafanya uhakiki?

Muulizaji:
Ndio, sahihi. Ni mtu anafanya uhakiki.

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Aha sawa! Hasbuna Allaah wa Ni´imal wakiyl.

Muulizaji:
Unajua nini kutoka kwake Shaykh?

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Mwanzoni nilikuwa sijui kitu. Nilikuwa sijamwangalia au kusikia kitu kutoka kwake.

Muulizaji:
Wallaahi Shaykh nilikaa nae karibu mwaka mmoja tukifanya utafiti katika Maktabah. Nilipokuja katika masuala haya, nikamuacha.

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Muache! Vijana wanaokutii waambie wasikae nae.