´Allaamah ´Abdul-´Aziyz Aal ash-Shaykh Kuhusu Jamaa´at-ut-Tabliygh -3-

Jamaa´at-ut-Tabliygh wana baadhi ya makosa katika masuala ya imani na mfumo. Haijuzu kutoka nao na kujiunga nao ikiwa mtu hana elimu na Baswiyrah katika Dini na akanuia kuwashauri na kuwaelekeza. Ama kuhusu ´Awwaam na watu wenye elimu ndogo, anaingia katika khatari kubwa. Huyu asitoke nao wala kujiunga nao. Mzungumzaji: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh Chanzo: al-Buhuuth al-Islaamiyyah (84/70) Toleo la: 23-06-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Jamaa´at-ut-Tabliygh wana baadhi ya makosa katika masuala ya imani na mfumo. Haijuzu kutoka nao na kujiunga nao ikiwa mtu hana elimu na Baswiyrah katika Dini na akanuia kuwashauri na kuwaelekeza.

Ama kuhusu ´Awwaam na watu wenye elimu ndogo, anaingia katika khatari kubwa. Huyu asitoke nao wala kujiunga nao.

Mzungumzaji: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh
Chanzo: al-Buhuuth al-Islaamiyyah (84/70)
Toleo la: 23-06-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Jamaa´at-ut-Tabliygh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 23rd, June 2014