Allaah (´Azza wa Jalla) Anasifika Kuwa Na Nafsi

Miongoni mwa Sifa za Dhati ni Aliyoeleza juu ya ´Iysa (´alayhis-Salaam) na akasema: تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ “Unayajua yale yote yaliyomo katika nafsi yangu; na wala (mimi) sijui yale yaliyomo katika Nafsi Yako.” (05:116) Kauli Yake: وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ “... na wala (mimi) sijui yale yaliyomo katika Nafsi Yako.” (05:116) ni uthibitisho wa kuwa na Nafsi Allaah (´Azza wa Jalla). Ni Sifa ya Dhati inayolingana na Ukubwa na Utukufu wa Allaah (´Azza wa Jalla), bila ya kufananisha, kushabihisha, kubadilisha maana wala kukanusha. Hii ndio maana sahihi na ndio maana ya maneno ya Salaf: “Zipitisheni kama zilivyokuja.” Mwandishi: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn Ibn Qudaamah al-Maqdisiy Chanzo: Sharh Lum´at-il-I´tiqaad Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=882&size=2h&ext=.rm

Miongoni mwa Sifa za Dhati ni Aliyoeleza juu ya ´Iysa (´alayhis-Salaam) na akasema:

تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ
“Unayajua yale yote yaliyomo katika nafsi yangu; na wala (mimi) sijui yale yaliyomo katika Nafsi Yako.” (05:116)

Kauli Yake:

وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ
“… na wala (mimi) sijui yale yaliyomo katika Nafsi Yako.” (05:116)

ni uthibitisho wa kuwa na Nafsi Allaah (´Azza wa Jalla). Ni Sifa ya Dhati inayolingana na Ukubwa na Utukufu wa Allaah (´Azza wa Jalla), bila ya kufananisha, kushabihisha, kubadilisha maana wala kukanusha. Hii ndio maana sahihi na ndio maana ya maneno ya Salaf:

“Zipitisheni kama zilivyokuja.”

Mwandishi: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn Ibn Qudaamah al-Maqdisiy
Chanzo: Sharh Lum´at-il-I´tiqaad
Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy
Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=882&size=2h&ext=.rm


  • Kitengo: Uncategorized , Nafsi
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 1st, April 2014