al-Halabiy Juu Ya Wanachuoni Wa Saudi Arabia

Ninakumbuka tulipokuwa katika Masjid-ul-Haraam baada ya ´Ishaa, baada ya kuswali Tarawiyh katika miaka michache iliyopita. Ninakutana na ´Aliy al-Halabiy akanichukua mkono tukielekea kwenye Hoteli. Kutokea huko tukaenda Jeddah wakati wa uhai wa Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Bannaa (Rahimahu Allaah). Miongoni mwa aliyonambia ni: "Abu Muhammad! Wanachuoni wa Najd, au wa Saudi Arabia, wanatuongelea kwa sababu ya hasadi. Miongoni mwa mbaya zaidi katika wao ni al-Fawzaan." Ibara hii haikunukuliwa kwa maana yake. Isipokuwa imetamkwa kama yalivyo matamshi yake: "Miongoni mwa mbaya zaidi katika wao ni al-Fawzaan."

Ninakumbuka tulipokuwa katika Masjid-ul-Haraam baada ya ´Ishaa, baada ya kuswali Tarawiyh katika miaka michache iliyopita. Ninakutana na ´Aliy al-Halabiy akanichukua mkono tukielekea kwenye Hoteli. Kutokea huko tukaenda Jeddah wakati wa uhai wa Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Bannaa (Rahimahu Allaah). Miongoni mwa aliyonambia ni:

“Abu Muhammad! Wanachuoni wa Najd, au wa Saudi Arabia, wanatuongelea kwa sababu ya hasadi. Miongoni mwa mbaya zaidi katika wao ni al-Fawzaan.”

Ibara hii haikunukuliwa kwa maana yake. Isipokuwa imetamkwa kama yalivyo matamshi yake:

“Miongoni mwa mbaya zaidi katika wao ni al-Fawzaan.”