al-Albaaniy Kuhusu Swalah Ya Mwanamke Miguu Tupu

Swali: Ni ipi hukumu ya Swalah ya mwanamke akiswali miguu tupu? Jibu: Ninaonelea ya kwamba ni lazima kwake avae kanzu inayofunika miguu kwa juu, jambo ambalo limepokelewa kutoka kwa baadhi ya wamama wa Waumini. Hata hivyo hakuna neno ikiwa kisigino chake kitakuwa wazi wakati wa Swalah, kama wakati wa kusujudu. Swali: Na upande wa juu (ya mguu)? Jibu: Ni lazima kupafunika. Swali: Je, Swalah si sahihi ikiwa ataswali kwa kukusudia katika hali hii? Jibu: Ndio, Swalah si sahihi.

Swali: Ni ipi hukumu ya Swalah ya mwanamke akiswali miguu tupu?

Jibu: Ninaonelea ya kwamba ni lazima kwake avae kanzu inayofunika miguu kwa juu, jambo ambalo limepokelewa kutoka kwa baadhi ya wamama wa Waumini. Hata hivyo hakuna neno ikiwa kisigino chake kitakuwa wazi wakati wa Swalah, kama wakati wa kusujudu.

Swali: Na upande wa juu (ya mguu)?

Jibu: Ni lazima kupafunika.

Swali: Je, Swalah si sahihi ikiwa ataswali kwa kukusudia katika hali hii?

Jibu: Ndio, Swalah si sahihi.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (23)
  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 2nd, January 2014