Ahmad bin Hanbal Kuhusu Kuwa Juu Kwa kwa Allaah

Allaah Ametueleza ya kwamba Yeye Yuko juu ya mbingu. Kasema: أَأَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاء أَن يَخْسِفَ بِكُمُ الأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُور ”Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika!” (67 : 16) إِلَيْهِ يَصْعَدُ الْكَلِمُ الطَّيِّبُ وَالْعَمَلُ الصَّالِحُ يَرْفَعُهُ “Kwake hupanda neno zuri (dhikru-Allaah), na kitendo chema (cha ikhlaasw) Hukipa hadhi (Hukitakabali).” (35 : 10) يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ “Ee ‘Iysaa, hakika Mimi ni Mwenye kukuchukua na Mwenye kukupandisha Kwangu.” (03 : 55) بَل رَّفَعَهُ اللَّـهُ إِلَيْهِ ”Bali Allaah Alimnyanyua Kwake.” (04 : 158) الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ Ar-Rahmaan (Mwingi wa Rahmah) juu ya‘Arsh Istawaa (Yuko juu kwa namna inayolingana na Utukufu Wake Yeye Mwenyewe Allaah). (20 : 05) بَل رَّفَعَهُ اللَّـهُ إِلَيْهِ ”Bali Allaah Alimnyanyua Kwake.” (04 : 158) يَخَافُونَ رَبَّهُم مِّن فَوْقِهِمْ وَيَفْعَلُونَ مَا يُؤْمَرُونَ ”Wanamkhofu Mola wao Aliye juu yao, na wanafanya yale wanayoamrishwa.” (16 : 50) Haya ni Maneno ya Allaah. Anatwambia ya kwamba Yuko juu ya mbingu. Mwandishi: Imaam Ahmad bin Hanbal (d. 241) Chanzo: ar-Radd 'alaa az-Zanaadiqah wal-Jahmiyyah, uk. 146-147

Allaah Ametueleza ya kwamba Yeye Yuko juu ya mbingu. Kasema:

أَأَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاء أَن يَخْسِفَ بِكُمُ الأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُور
”Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika!” (67 : 16)

إِلَيْهِ يَصْعَدُ الْكَلِمُ الطَّيِّبُ وَالْعَمَلُ الصَّالِحُ يَرْفَعُهُ
“Kwake hupanda neno zuri (dhikru-Allaah), na kitendo chema (cha ikhlaasw) Hukipa hadhi (Hukitakabali).” (35 : 10)

يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ
“Ee ‘Iysaa, hakika Mimi ni Mwenye kukuchukua na Mwenye kukupandisha Kwangu.” (03 : 55)

بَل رَّفَعَهُ اللَّـهُ إِلَيْهِ
”Bali Allaah Alimnyanyua Kwake.” (04 : 158)

الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ
Ar-Rahmaan (Mwingi wa Rahmah) juu ya‘Arsh Istawaa (Yuko juu kwa namna inayolingana na Utukufu Wake Yeye Mwenyewe Allaah). (20 : 05)

بَل رَّفَعَهُ اللَّـهُ إِلَيْهِ
”Bali Allaah Alimnyanyua Kwake.” (04 : 158)

يَخَافُونَ رَبَّهُم مِّن فَوْقِهِمْ وَيَفْعَلُونَ مَا يُؤْمَرُونَ
”Wanamkhofu Mola wao Aliye juu yao, na wanafanya yale wanayoamrishwa.” (16 : 50)

Haya ni Maneno ya Allaah. Anatwambia ya kwamba Yuko juu ya mbingu.

Mwandishi: Imaam Ahmad bin Hanbal (d. 241)
Chanzo: ar-Radd ‘alaa az-Zanaadiqah wal-Jahmiyyah, uk. 146-147


  • Kitengo: Uncategorized , Kuwa juu kwa Allaah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013