Ahl-us-Sunnah Wanatahadharisha Jamaa´at-ut-Takfiyr Na Jamaa´at-ul-Jihaad

"Hatuiti kwenye ghasia. Uhakika wa mambo ni kwamba Ahl-us-Sunnah wote wanapambana na mambo ya ghasia. Ahl-us-Sunnah wote ni wenye kujiweka mbali na kuwakufurisha Waislamu. Wanapambana na Jamaa´at-ut-Takfiyr. Hali kadhalika wanatahadharisha makundi yanayoeneza ufisadi na ambao wanajiita "Jamaa´at-ul-Jihaad". Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=35 Toleo la: 07-12-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

“Hatuiti kwenye ghasia. Uhakika wa mambo ni kwamba Ahl-us-Sunnah wote wanapambana na mambo ya ghasia. Ahl-us-Sunnah wote ni wenye kujiweka mbali na kuwakufurisha Waislamu. Wanapambana na Jamaa´at-ut-Takfiyr. Hali kadhalika wanatahadharisha makundi yanayoeneza ufisadi na ambao wanajiita “Jamaa´at-ul-Jihaad”.

Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=35
Toleo la: 07-12-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Khawaarij
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 7th, December 2014