Ahl-ul-Ta´twiyl Wako Aina Mbili

Kila mwenye kupinga kwa Allaah Sifa Yake au kitu katika Sifa Zake, sawa ikiwa atafanya hivyo kwa kukanusha na kupinga au kwa kuwekea hilo taawili yenye kulaumika, basi ameingia katika Ta´twiyl. Ahl-ul-Ta´twiyl wamegawanyika sehemu mbili: 1- Ta´twiyl ya kila (kitu), na 2- Ta´twiyl ya sehemu. Jahmiyyah na Mu´tazilah ni katika Ahl-ul-Ta´twiyl ya kila (kitu). Hawamthibitishii Allaah sifa yoyote miongoni mwa Sifa Zake. Ashaa´irah, Maaturiydiyyah na Kullaabiyyah ni katika Ahl-ul-Ta´twiyl ya sehemu. Wamemthibitishia Allaah baadhi ya Sifa Zake na wakawekea taawili nyingi katika hizo. Hivyo Ta´twiyl yao ikawa ni Ta´twiyl ya sehemu. Ta´twiyl aina zote mbili ni shari. Rahmah ni mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah ambao wamemthibitishia Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) Aliyojithibitishia juu ya Nafsi Yake na Akamthibitishia nayo Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa ufahamu sahihi. Mwandishi: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn Ibn Qudaamah al-Maqdisiy Chanzo: Sharh Lum´at-il-I´tiqaad Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=878&size=2h&ext=.rm

Kila mwenye kupinga kwa Allaah Sifa Yake au kitu katika Sifa Zake, sawa ikiwa atafanya hivyo kwa kukanusha na kupinga au kwa kuwekea hilo taawili yenye kulaumika, basi ameingia katika Ta´twiyl. Ahl-ul-Ta´twiyl wamegawanyika sehemu mbili:

1- Ta´twiyl ya kila (kitu), na
2- Ta´twiyl ya sehemu.

Jahmiyyah na Mu´tazilah ni katika Ahl-ul-Ta´twiyl ya kila (kitu). Hawamthibitishii Allaah sifa yoyote miongoni mwa Sifa Zake.

Ashaa´irah, Maaturiydiyyah na Kullaabiyyah ni katika Ahl-ul-Ta´twiyl ya sehemu. Wamemthibitishia Allaah baadhi ya Sifa Zake na wakawekea taawili nyingi katika hizo. Hivyo Ta´twiyl yao ikawa ni Ta´twiyl ya sehemu. Ta´twiyl aina zote mbili ni shari.

Rahmah ni mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah ambao wamemthibitishia Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) Aliyojithibitishia juu ya Nafsi Yake na Akamthibitishia nayo Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa ufahamu sahihi.

Mwandishi: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn Ibn Qudaamah al-Maqdisiy
Chanzo: Sharh Lum´at-il-I´tiqaad
Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy
Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=878&size=2h&ext=.rm


  • Kitengo: Uncategorized , Ashaa´irah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 31st, March 2014