ad-Daarimiy Kuwa Juu Kwa Allaah

"Mlango wa 3: Kustawaa kwa Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) juu ya ´Arshi na kupaa Kwake mbinguni na kujitenga kutoka na uumbaji. Hili pia wamelipinga ilihali Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) kasema: هُوَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ “Yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha Akalingana sawa juu ya ´Arshi.” (57 : 04) الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ Ar-Rahmaan (Mwingi wa Rahmah) juu ya‘Arsh Istawaa (Yuko juu kwa namna inayolingana na Utukufu Wake Yeye Mwenyewe Allaah). (20 : 05) يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ “Ee ‘Iysaa, hakika Mimi ni Mwenye kukuchukua na Mwenye kukupandisha Kwangu.” (03 : 55) إِلَيْهِ يَصْعَدُ الْكَلِمُ الطَّيِّبُ وَالْعَمَلُ الصَّالِحُ يَرْفَعُهُ “Kwake hupanda neno zuri (dhikru-Allaah), na kitendo chema (cha ikhlaasw) Hukipa hadhi (Hukitakabali).” (35 : 10) هُوَ الْقَاهِرُ فَوْقَ عِبَادِهِ ”Naye ni Al-Qaahir (Mwenye Kuteza Nguvu, Mwenye Kudhibiti) juu ya waja Wake” (16 : 18) يَخَافُونَ رَبَّهُم مِّن فَوْقِهِمْ وَيَفْعَلُونَ مَا يُؤْمَرُونَ ”Wanamkhofu Mola wao Aliye juu yao, na wanafanya yale wanayoamrishwa.” (16 : 50) تَعْرُجُ الْمَلَائِكَةُ وَالرُّوحُ إِلَيْهِ فِي يَوْمٍ كَانَ مِقْدَارُهُ خَمْسِينَ أَلْفَ سَنَةٍ ”Malaika na Roho hupanda kwendea Kwake katika siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu!” (70 : 04) أَأَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاء أَن يَخْسِفَ بِكُمُ الأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُأَمْ أَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاء أَن يُرْسِلَ عَلَيْكُمْ حَاصِبًا فَسَتَعْلَمُونَ كَيْفَ نَذِيرِ ”Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika! Au mnadhani mko salama kwa alioko juu ya kuwa Yeye hakupelekeeni kimbunga chenye changarawe? Mtajua vipi maonyo Yangu?.” (67 : 16-17) Mwandishi: Imaam ´Uthmaan bin Sa´iyd ad-Daarimiy (d. 280) Chanzo: ar-Radd ´alaa al-Jahmiyyah, uk. 40-41

“Mlango wa 3: Kustawaa kwa Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) juu ya ´Arshi na kupaa Kwake mbinguni na kujitenga kutoka na uumbaji.

Hili pia wamelipinga ilihali Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) kasema:
هُوَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ
“Yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha Akalingana sawa juu ya ´Arshi.” (57 : 04)

الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ
Ar-Rahmaan (Mwingi wa Rahmah) juu ya‘Arsh Istawaa (Yuko juu kwa namna inayolingana na Utukufu Wake Yeye Mwenyewe Allaah). (20 : 05)

يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ
“Ee ‘Iysaa, hakika Mimi ni Mwenye kukuchukua na Mwenye kukupandisha Kwangu.” (03 : 55)

إِلَيْهِ يَصْعَدُ الْكَلِمُ الطَّيِّبُ وَالْعَمَلُ الصَّالِحُ يَرْفَعُهُ
“Kwake hupanda neno zuri (dhikru-Allaah), na kitendo chema (cha ikhlaasw) Hukipa hadhi (Hukitakabali).” (35 : 10)

هُوَ الْقَاهِرُ فَوْقَ عِبَادِهِ
”Naye ni Al-Qaahir (Mwenye Kuteza Nguvu, Mwenye Kudhibiti) juu ya waja Wake” (16 : 18)

يَخَافُونَ رَبَّهُم مِّن فَوْقِهِمْ وَيَفْعَلُونَ مَا يُؤْمَرُونَ
”Wanamkhofu Mola wao Aliye juu yao, na wanafanya yale wanayoamrishwa.” (16 : 50)

تَعْرُجُ الْمَلَائِكَةُ وَالرُّوحُ إِلَيْهِ فِي يَوْمٍ كَانَ مِقْدَارُهُ خَمْسِينَ أَلْفَ سَنَةٍ
”Malaika na Roho hupanda kwendea Kwake katika siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu!” (70 : 04)

أَأَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاء أَن يَخْسِفَ بِكُمُ الأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُأَمْ أَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاء أَن يُرْسِلَ عَلَيْكُمْ حَاصِبًا فَسَتَعْلَمُونَ كَيْفَ نَذِيرِ
”Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika! Au mnadhani mko salama kwa alioko juu ya kuwa Yeye hakupelekeeni kimbunga chenye changarawe? Mtajua vipi maonyo Yangu?.” (67 : 16-17)

Mwandishi: Imaam ´Uthmaan bin Sa´iyd ad-Daarimiy (d. 280)
Chanzo: ar-Radd ´alaa al-Jahmiyyah, uk. 40-41


  • Kitengo: Uncategorized , Kulingana juu ya ´Arshi
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013